Chadema ni chama Makini kinachosimamia Kile Wanachokiamini na Maamuzi yake kwa Ujumla..!Vyama vingine bado vinasita kusimamia maamuzi yake hasa Magamba..!Hongera Chadema kwa kusimamia maamuzi ya kamati kuu..!
Wadau mnaweza leta tofauti nyingine najua zipo nyingi..!
Huu ni ujinga mtupu,kinachoendelea chadema ni samaki mkubwa kummeza mdogo basichadema ni chama makini kinachosimamia kile wanachokiamini na maamuzi yake kwa ujumla..!vyama vingine bado vinasita kusimamia maamuzi yake hasa magamba..!hongera chadema kwa kusimamia maamuzi ya kamati kuu..!
Wadau mnaweza leta tofauti nyingine najua zipo nyingi..!
<br />huu ni ujinga mtupu,kinachoendelea chadema ni samaki mkubwa kummeza mdogo basi
<br />huu ni ujinga mtupu,kinachoendelea chadema ni samaki mkubwa kummeza mdogo basi
<br />huu ni ujinga mtupu,kinachoendelea chadema ni samaki mkubwa kummeza mdogo basi
Asante. wenye akili tumeelewa unachokimaanisha. Asante againHakina udini,ukabila pia wabunge wake wa viti maluum hawatoki sehemu moja ya mkoa n.k