Elections 2010 Tofauti kati ya CHADEMA na Vyama vingine

Elections 2010 Tofauti kati ya CHADEMA na Vyama vingine

jambo1

JF-Expert Member
Joined
Jul 5, 2009
Posts
241
Reaction score
29
Chadema ni chama Makini kinachosimamia Kile Wanachokiamini na Maamuzi yake kwa Ujumla..!Vyama vingine bado vinasita kusimamia maamuzi yake hasa Magamba..!Hongera Chadema kwa kusimamia maamuzi ya kamati kuu..!

Wadau mnaweza leta tofauti nyingine najua zipo nyingi..!
 
1. Ni chama makini
2. Hakitaki ufisadi, rushwa, ubadhirifu na uujumu uchumi
3. Viongozi wake ni makini
4. Wanachama makini
5. Hakina wambea wambea kama Ndugai
6. Kinasimamia haki na usawa kwa wananchi!
 
Chadema ni chama Makini kinachosimamia Kile Wanachokiamini na Maamuzi yake kwa Ujumla..!Vyama vingine bado vinasita kusimamia maamuzi yake hasa Magamba..!Hongera Chadema kwa kusimamia maamuzi ya kamati kuu..!
Wadau mnaweza leta tofauti nyingine najua zipo nyingi..!

Wenye mawazo ya kipumbavu kwamba chadema hakifiki 2015 watafute kazi nyengine ya kufanya.
 
CDM ni chama chenye dhamira ya kweli, yenye kuleta ukombozi wa kweli wa nchi hii, ni chama kinachosimamia kila kinachoamini, tofauti na vyama vingine vya siasa hususan magamba na wanawe.
 
Chama makini na chenye watu makini ndio hufanya maamuzi makini kama chadema na ni ngumu sana kwa chama kama magamba kufanya maamuzi magumu kama haya ya chadema kwa kuwa kama magamba watachukua maamuzi magumu ina maana kuwa hakutakuwa hata na rais kwani hata yeye yupo ktk wale watu waliodaiwa kuwa mafisadi,kwa hiyo kama ni maamuzi magumu yaanze kwa mkuu mwenyewe na kwa magamba hilo haliwezekani na hiyo ndio tofauti kati ya chadema na magamba na vyama vingine vibaraka wa magamba.
 
Hakina udini,ukabila pia wabunge wake wa viti maluum hawatoki sehemu moja ya mkoa n.k
 
Kina malengo ya kuleta maendeleo ya kweli na ukombozi, haki kwa mtanganyika tofauti na Magamba
 
The difference is
CHADEMA!!!!!!!!!!!!!!
PEOPLES' POWER!!!!!!!!!!!!!
 
chadema ni chama makini kinachosimamia kile wanachokiamini na maamuzi yake kwa ujumla..!vyama vingine bado vinasita kusimamia maamuzi yake hasa magamba..!hongera chadema kwa kusimamia maamuzi ya kamati kuu..!
Wadau mnaweza leta tofauti nyingine najua zipo nyingi..!
Huu ni ujinga mtupu,kinachoendelea chadema ni samaki mkubwa kummeza mdogo basi
 
Ndicho chama ambocho nyerere angekuwepo angehamia na kuendeleza mapambano!
 
Tunataka Nape atoe maoni yake nae kwa anavyokijua..
 
Hayo ndio makalio aliyosema mwanaccm masaburi..... Kilichotokea chadema leo kimefanyika sana ndani ya tanu na ccm, fanya utafiti kwa nini mzee masha - baba wa waziri wa zamani lau, nini kilimkuta 1965?
huu ni ujinga mtupu,kinachoendelea chadema ni samaki mkubwa kummeza mdogo basi
<br />
<br />
 
huu ni ujinga mtupu,kinachoendelea chadema ni samaki mkubwa kummeza mdogo basi
<br />
<br />
hivi samaki mkubwa alizaliwa akiwa mkubwa, au naye kuna wakati alikuwa mdogo!! kuuona ujinga wa wenzio inaweza sababishwa na na wako upumbavu, wasiliana na akili yako.
 
Back
Top Bottom