Baada ya Fortunatus Buyobe kutaka mtoto nayeumwa asaidiwe na wizara huku akishindwa kutofautisha baina ya wizara aya afya na ile ya jinsia na ulemavu na mwishowe kuambiwa afate utaratibu jamaa amekuwa mbogo na kuaishia kulumbana na waziri.
Hizi dili za kuchangisha harambee mitandaoni imekuwa fasheni ya upigaji na huyu mzozo utazua jambo kubwa sana