Tofauti kati ya mpenzi mrefu na mfupi

Tofauti kati ya mpenzi mrefu na mfupi

Wa kwako mrefu au mfupi?
Inawezekana wa kwake ni kinyume na hiyo picha hapo so anatafuta idea kutoka kwa watu kuwa hiyo imekaa vipi.

Mi nafikiri urefu ama ufupi hauna cha kufanya na moyo kupenda ama kutopenda, muhimu na la kwanza mtu ataanza kukuuliza ni kuwa are you happy with her/him kama Yes achana na hizo mambo mengine kama No ndipo utaanza kuchunguza na kuanza kusema kwanza mfupi ooohh... mrefu sana hata hivyo ni mwembamba ama mnene vile nimpeleke wapi.

Ni hayo tu.
 
sijui labda shemeji chrispini ALISHACHEZEA KICHAPO KWA ZD,
maanake samahani kibao utadhani wanawake hamna!hahahahaha
 
sijui labda shemeji chrispini ALISHACHEZEA KICHAPO KWA ZD,
maanake samahani kibao utadhani wanawake hamna!hahahahaha

Mwanamme kwa mwanamke akohoi e.g samson na delila, clinton na Monica, xspin na ZD.
 
Embu nikae kimya mie,sababu niliyoyaona kwa short cheses ni siri yangu mwenyewe,uhondo wa ngoma ni kuicheza jamani!!
 
Hivi kuna tatizo mtu ukiwa na mpenzi shoti chesesi? au ladha ya penzi inapungua? mfano pichani.

Hapo Nguli alikuwa anatest mambo enzi zake kwenye picha!!!!!
 
Mie naona kutakuwa na tofauti kwenye shuguli yenyewe endapo mwanaume atakuwa mfupi na shostito kuwa mrefu.

Bi Lily kuna ile kitu inaitwaga principle of proportionality ndio huwa ina apply mfano huwezi kuwa mrefu na vidole vikawa vifupi, kwa hiyo njemba ikiwa ndefu kama mimi vile lazima mtambo usome sentimita kadhaa hii inaapply hata kwenu.... kwa wafupi lazima ngoma ni fupi tuu bana

hapo inategemea unapenda ipi fupi au ndefu...... Mkuu Chrispin atanisaidia zaidi kwenye mauzoefu!!!!!
 
mbona huyo mshkaji anafanana na Kelvin Twissa hivi te te te
 
maisha yote......nini kinapatikana wote wanajua....mapenzi hayachagui
 
Tatizo la mpenzi mfupi unaweza ukapitiliza ukasahau kama hapo ni kinywani teh teh kwani
 
mwanamke akishakuzidi urefu ATAKUSUMBUA!dawa yake(kwa wafupi wenzangu),ni kutembeza bakora kwenye kila kosa(bila kuzingatia udogo wa kosa hilo),azma kuu ni kurudisha heshima!

Nguli anaungana na mimi katika HILI

Zama hizi bado kuna watu wanafikiria kuwapiga wake/wapenzi wao, ama kupigana? Kama mmechokana bora kila mtuashike ustaarab wake badala ya kuanza kushikana makoo na kuharibiana receiptions!

Halafu kupiga hakuleti heshima ila kunaleta nidhamu ya woga ndani ya mahusiano.
 
e bwana hakuna tofauti mama urefu au ufupi unaonekana kwenye miguu lakini kuanzia kwenye kiuno kwenda juu ni sawa kwa wote.. umeisoma hiyo?
 
Hahahahaha mpwa umenikumbusha mbali kweli ila shorti chesesi iwa zinabeba sana mzigo nyuma mm nazipenda sana
 
Nyie vipi? Mbona poa tu..... Unaweza kumuona John Mashaka kaowa mtoto wa mita mbili. Nilishawahi kukutana na dada mmoja ambaye alikuwa akikiri kuwa ana weakness na wanaume wafupi na yeye alikuwa na sijui 1.85m.

[ame]http://www.youtube.com/watch?v=KXbEWCZYFys&feature=related[/ame]
 
Back
Top Bottom