Inawezekana wa kwake ni kinyume na hiyo picha hapo so anatafuta idea kutoka kwa watu kuwa hiyo imekaa vipi.Wa kwako mrefu au mfupi?
Mi nafikiri urefu ama ufupi hauna cha kufanya na moyo kupenda ama kutopenda, muhimu na la kwanza mtu ataanza kukuuliza ni kuwa are you happy with her/him kama Yes achana na hizo mambo mengine kama No ndipo utaanza kuchunguza na kuanza kusema kwanza mfupi ooohh... mrefu sana hata hivyo ni mwembamba ama mnene vile nimpeleke wapi.
Ni hayo tu.