Utofauti ni Wa sifa, muda, na ujuzi unaoupata.. advance diploma inasomwa na mtu aliyemaliza kidato cha sita na mwenye sifa zote za kujiunga na elimu ya juu Au mtu aliyemaliza ordinary diploma na kufaulu Kwa angalau GPA ya 2.8/2.7. Ila ordinary diploma inasomwa name mtu aliyemaliza kidato cha sita na aliyekosa sifa kidogo za kujiunga na elimu ya juu Au mtu aliyesoma Astashahada(certificate) ya ujuzi inayotokumwezesha kwendalewa na NACTE..advance husomwa miaka 3 lakini ordinary diploma ni miaka 2. huo ndiyo uelewa Wangu.