Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Utofauti ni Wa sifa, muda, na ujuzi unaoupata.. advance diploma inasomwa na mtu aliyemaliza kidato cha sita na mwenye sifa zote za kujiunga na elimu ya juu Au mtu aliyemaliza ordinary diploma na kufaulu Kwa angalau GPA ya 2.8/2.7. Ila ordinary diploma inasomwa name mtu aliyemaliza kidato cha sita na aliyekosa sifa kidogo za kujiunga na elimu ya juu Au mtu aliyesoma Astashahada(certificate) ya ujuzi inayotokumwezesha kwendalewa na NACTE..advance husomwa miaka 3 lakini ordinary diploma ni miaka 2. huo ndiyo uelewa Wangu.
!
!
tofauti nyingine inapatikana katika purpose of qualification...... advanced diploma inalenga zaidi katika ngazi ya kufanya maamuzi ambapo kazi zake sio za kila siku au kujirudiarudia na wanafanya kazi katika uangalizi mdogo wakati ordinary diploma ni kufanya day to day activities with minimum supervision wakati cheti ni kufanya shughuli za kila siku kwa usimamizi mkubwa. Adv Dipl huwa inatambuliwa pia kama NTA7, Ord Dipl ni NTA5&6 wakati cheti ni NTA4.
Ahsante.