Tofauti kati ya ordinary diploma na advanced diploma

danmarc

JF-Expert Member
Joined
Feb 25, 2012
Posts
567
Reaction score
115
Wadau naombeni nijuzwe tofauti kati ya hivyo vitu viwili
 
Kama unajua tofauti kati ya ordinary na advanced secondary edu. ni sawa na hyo unayoitaka
 
Utofauti ni Wa sifa, muda, na ujuzi unaoupata.. advance diploma inasomwa na mtu aliyemaliza kidato cha sita na mwenye sifa zote za kujiunga na elimu ya juu Au mtu aliyemaliza ordinary diploma na kufaulu Kwa angalau GPA ya 2.8/2.7. Ila ordinary diploma inasomwa name mtu aliyemaliza kidato cha sita na aliyekosa sifa kidogo za kujiunga na elimu ya juu Au mtu aliyesoma Astashahada(certificate) ya ujuzi inayotokumwezesha kwendalewa na NACTE..advance husomwa miaka 3 lakini ordinary diploma ni miaka 2. huo ndiyo uelewa Wangu.
 
Mkuu hebu jaribu kutumia hata google....unajua tofauti ya o level na a level?
 
Ordinary diploma inategemea na course pia institute… kama dit,mist,wdmi,… ni miaka 3
Ila qualification ndio tofauti
 
Utofauti ni Wa sifa, muda, na ujuzi unaoupata.. advance diploma inasomwa na mtu aliyemaliza kidato cha sita na mwenye sifa zote za kujiunga na elimu ya juu Au mtu aliyemaliza ordinary diploma na kufaulu Kwa angalau GPA ya 2.8/2.7. Ila ordinary diploma inasomwa name mtu aliyemaliza kidato cha sita na aliyekosa sifa kidogo za kujiunga na elimu ya juu Au mtu aliyesoma Astashahada(certificate) ya ujuzi inayotokumwezesha kwendalewa na NACTE..advance husomwa miaka 3 lakini ordinary diploma ni miaka 2. huo ndiyo uelewa Wangu.

Upo sahihi kabisa. Hujaacha shaka yoyote!
 
!
!
tofauti nyingine inapatikana katika purpose of qualification...... advanced diploma inalenga zaidi katika ngazi ya kufanya maamuzi ambapo kazi zake sio za kila siku au kujirudiarudia na wanafanya kazi katika uangalizi mdogo wakati ordinary diploma ni kufanya day to day activities with minimum supervision wakati cheti ni kufanya shughuli za kila siku kwa usimamizi mkubwa. Adv Dipl huwa inatambuliwa pia kama NTA7, Ord Dipl ni NTA5&6 wakati cheti ni NTA4.
Ahsante.
 
iko vizuri sana
 
Back
Top Bottom