Tofauti kati ya Simba na Yanga kwenye mechi za kimataifa

Ila tuache masihara, kejeli, wivu na utani, ukweli ni kwamba Yanga kuna kitu cha kujifunza. Kwavile tu hizi timu mbili zimekuwa na mfumo wa kukebihiana ila ilipaswa uongozi wa Yanga ukae chini na wenzao kuwauliza wanawezaje hii ni kwa maendeleo ya soka letu.

Tumezifanya hizi vilabu kuwa kama maadui kiasi kwamba hata kuomba maelekezo kwa mwenzio kwa mbinu anazofanya unashindwa unabakia kujifanya mjuaji na bado unashindwa pamoja na kujifanya mjuaji.
 
Usiingize Simba katika ujinga wa Yanga. Yanga imejaa waswahili(Wazaramo na Wakwere).
 
Yanga teknik wanatumia sasaiv wanachukua viongozi waliokuwa Simba. Tatizo sasa hao viongozi sio key people. Pale Simba kuna injini za SIMBA kama Mulamu Nghambi, Magori, Kaduguda, Try again, Rage, wajumbe wa bodi ya Simba nk...ambao wanajua mpira hasa. Yule mama pale anafundishwa tu ya kufanya. Lakin kuna wenye Simba yao wapo nyuma
 
tumewapa manara na senzo au tuwape na barbra?
 
Mna mambo ya kipumbavu sana. Nchi inashindwa kuendelea kwa uswahili na upumbavu wenu.
Mkuu sisi wakwere na wazaramo hatuzidi hata 8% of this country population

Nafikiri tatizo lipo kwenu nyie 'wastarabu' ambao ndio population dominant.
 
Mkuu sisi wakwere na wazaramo hatuzidi hata 8% of this country population

Nafikiri tatizo lipo kwenu nyie 'wastarabu' ambao ndio population dominant.
Mzee Mpili, Akina Haris, Akina kiwete na wengine wengi tu. Wameing'ang'ania yanga hawaiendelezi na wanataka timu zingine ziwe kama wao. Ndani ya Simba wazaramo na wakwere wamefumbwa midomo.
 
Hawa jamaa ni sikio la Kufa halina dawa. Huwa hawapendi kuelezwa ukweli. Wanajifanya wajanjawajanja na wajuaji kumbe hamna kitu . Wanashindwa kutambua kwamba , asiyeuliza hana ajifunzalo . Bahati mbaya sasa wamepata mwalimu na nabii wa uongo wanayemwamini "Manara" kiasi kwamba yeye ndiye kila kitu. Anachokisema wao ni "Ndiyo Mzee"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…