NAWATAFUNA
JF-Expert Member
- Nov 14, 2019
- 13,284
- 24,047
Alafu kuna watu wana roho za umasikini tu,hata afanye kazi 24 hrs anatoka bilabila.Hahhaha M5 za mello ni jukwa lingine siyo hili mkuu
Kweli mkuu lakini hapo linakuja swala la vipi mdaKufanya kazi mda mwingi au mfupi hakukufanyi kuwa masikini au tajiri.
Mlinzi, konda, dereva wanafanya Kazi mda mrefu kuliko tajiri na still ni masikini.
Nadharia ya utajiri na umasikini ni suala la nature.
Wapo masikini wanapambana Sana kuliko hata matajiri na still awatoboi.
Nami Ndiyo ninalolijua hili.Unachanganya
Kuna umaskini wa akili,na utajiri wa akili.
Hayo mengine ni matokeo kwenye kimaisha.
Hata tukupe pesa vipi kama una umaskini wa akili uwezi fika .