Tofauti kati ya Tanzania na China kiuongozi

TPP

JF-Expert Member
Joined
Mar 18, 2023
Posts
650
Reaction score
783
Ili taifa liendelee lahitaji wananchi na viongozi kuheshimu na kuziogopa sheria na wala sio kinyume chake" sheria kuogopa kundi fulani la watu(watawala )

Former security chief


China ex-railway minister


China's former justice minister
 
Ila wachina wamejipika sana kwenye trust. Unaweza agiza ata mzigo wa gharama na wakahakikisha unakufikia na sio kona kona za kiswahili akisikia huko mkoani unaangiza kitu kwake dar.

Ana subiri utume pesa ule block. Na vitisho juu kashitaki unapotaka
 
Graph ya China
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…