mwanyaluke
JF-Expert Member
- Jan 22, 2015
- 704
- 2,435
tozo ni pesa inakatwa kwa jambo flani na pesa inayopatika inatumika kuliwezesha jambo lenyewe na inakoma soon tu baada ya jambo lenyewe kuisha , kwa mfano umeanzisha soko la kuuza nafaka , hapo sokoni pana watu watakao fanya usafi ,walinzi nk so unamtoza mfanyabiashara kwa lengo la kuwalipa hao wafanyakazi wa usafi na walinzi , kodi ni broader term , lakini tanzania linatumika tofauti na maana yake ( nilisoma sheria na kulipa ada so siwezi endelea kutoa maelekezo wakati silipwi