Tofauti kati ya Tundu Lissu na Freeman Mbowe kwa jicho la jasusi mbobevu

Bujibuji Simba Nyamaume

Platinum Member
Joined
Feb 4, 2009
Posts
78,914
Reaction score
168,320
##Tujifunze kwenye ujasusi
Kwenye nyanja ya ujasusi hapa duniani Kuna michezo mingi😃😃😃 😄

Kuna mbinu mmoja ambapo idara ya kijasusi inaweza kutengeneza mtu akawa mkosoaji mkubwa serikali hadharani lakini Kwa siri akawa anafanya kazi na vyombo vya usalama.,Ndio maana kuna msemo unasema kwenye harakati zozote usije ukamuamini mtu yeyote 😄😄

Wananchi wanakuwa wanaamini mtu huyo Kuwa ni adui wa serikali lakini ukweli ni kwamba ni rafiki wa serikali Kwa siri

**Mtu huyo anaweza akafunguliwa kesi na serikali lakini kesi yake haiwezi kwenda popote wala haiwezi kuleta madhara kwake..

**Mtu huyo anaweza kukamatwa na kupelekwa mahabusu na serikali kwa madai ametenda makosa ukweli ni kwamba mtu huyo hatakwenda mahabusu zaidi ataishi hotelini.

***Mtu huyu akikamatwa na wenzake anatenganishwa wakati wa kupelekwa mahabusu ,wenzanke wanapelekwa mahabusu yeye anapelekwa hotelini kula kuku 🤣🤣
**Mtu huyu mara nyingi hutumika kukusanya taarifa kutoka kwa wakosoaji wa serikali na kupeleka kwenye idara ya kijasusi .
*Kwa upande wa Afrika watu hawa wanapelekwa sana kwenye vyama vya upinzani ambapo kazi yao inakuwa ni kukusanya taarifa kutoka upinzani na kuzipeleka kwenye vyombo vya usalama,Pia mtu huu upeleka mipango wanayopanga na wapinzani kwenda kwenye vyombo vya usalama

**Kwenye nyanja ya ujasusi hapa duniani hakuna kosa Kwa idara ya kijasusi kupeleka watu wake kwenye vyama vya upinzani ila kosa linakuwa watu hao wanaopelekwa huko Kwenye vyama vya upinzani wanapelekwa kwa lengo gani ?? Zaidi wanakwenda Kwa lengo la kuvuruga vyama upinzani na kulinda maslahi ya Chama tawala,

Huko Ulaya au Marekani ya mashiriki ya kijasusi wanatuma watu wao kwenye vyama upinzani na vyama tawala kwa lengo la kusimamia maslahi ya nchi siyo kusimamia maslahi ya vyama tawala badala ya kuvuruga vyama vya upinzani,

*Tofauti ni kwamba huko Ulaya na Merekani hawa watu wanaotumwa mashirika yao ya kijasusi kwenye vya upinzani ni Kwa ajili ya kulinda maslahi ya nchi lakin Afrika hawa watu wanatumwa na idara za kijasusi kwenda vyama vya upinzani kulinda maslahi ya vyama tawala na kuvuruga vyama vya upinzani.

**Kwa lugha ya kijasusi hawa watu Wana majina mengi mfano.
👇🏻👇🏻👇🏻👇🏻👇🏻
1.Agent Provocateur: Huyu ni mtu ambaye anatumwa na idara za kijasusi kwenda vyama vya upinzani Kwa ajilli ya kuhamamisha wenzake wavunje sheria Ili waweze kukamatwa na vyombo vya usalama.
2.Double Agent: Huyu ni mtu ambaye anakuwa anatumikia mabwana mawili Kwa wakati Mmoja, yan anatumikia upinzani na idara za kijasusi , wakati mwingine huyu mtu anaweza kuwapelekea habari vyama vya upinzani kutoka serikalini ili aweze kuaminika lakini habari hizo zinakuwa hazina madhara Kwa serikali na wakati mwingine hizo habari zinaweza zikawa za uongo kijasusi zinaitwa
(Disinformation)

3.Controlled Opposition,(Upinzani Unaodhibitiwa) huyu ni Mtu au kikundi ambacho kwenye jamii kinaonekana kupinga na kukosoa serikali, ukweli kinakuwa kinaelekezwa cha kusema na kinafadhiliwa na serikali ,pia wakati mwingine kinatumiwa na serikali hiyo hiyo kufatilia upinzani halisi 😂😂😂
4.covert agent.

5.Under cover .

6.Informer

7.Infiltration Agent ni

8.Mole Agent
 
1788561312117.png
1788561418549.png
 
umeibua jambo muhimu sana. Kuna kitu cha kufikirisha sana kiliwahi kujitokeza wakati wa kesi ya Mbowe lakini nilishangaa watu hawakuwahi kabisa kujiuliza, badala yake walijikita kwenye kulia huku wengine wakifanya maombi , wengine wakiingiwa ubaridi kwa kumuonea huruma kwa ukatili aliofanyiwa.
Wakati kesi ile ikiendelea ikiwa na zaidi ya miezi, Mbowe alilalamika kwamba huwa hawapewi Chakula, wanatoka Mahabusi mapema kabla ya kula, wakifika Mahakamani hawaruhisiwi kupatiwa Chakula na wakirudi magereza muda wa kula unakuwa umeshapita hivyo wanaishia kulala njaa.
Ukweli ni kwamba kwenye ile kesi walikuwa wakichelewa sana kutoka mahakamani, sasa kwa miezi yote waliishi vipi bila kula wakati pale Mahakamani wakikuwa hawaewi chakula hadi walipolalamika ndipo Mahakama ikaamuru wawe wanaewa chakula.
Hapo swala laki la watu kulala hotelini ndiyo linapata nguvu
 
##Tujifunze kwenye ujasusi
Kwenye nyanja ya ujasusi hapa duniani Kuna michezo mingi😃😃😃 😄

Kuna mbinu mmoja ambapo idara ya kijasusi inaweza kutengeneza mtu akawa mkosoaji mkubwa serikali hadharani lakini Kwa siri akawa anafanya kazi na vyombo vya usalama.,Ndio maana kuna msemo unasema kwenye harakati zozote usije ukamuamini mtu yeyote 😄😄

Wananchi wanakuwa wanaamini mtu huyo Kuwa ni adui wa serikali lakini ukweli ni kwamba ni rafiki wa serikali Kwa siri

**Mtu huyo anaweza akafunguliwa kesi na serikali lakini kesi yake haiwezi kwenda popote wala haiwezi kuleta madhara kwake..

**Mtu huyo anaweza kukamatwa na kupelekwa mahabusu na serikali kwa madai ametenda makosa ukweli ni kwamba mtu huyo hatakwenda mahabusu zaidi ataishi hotelini.

***Mtu huyu akikamatwa na wenzake anatenganishwa wakati wa kupelekwa mahabusu ,wenzanke wanapelekwa mahabusu yeye anapelekwa hotelini kula kuku 🤣🤣
**Mtu huyu mara nyingi hutumika kukusanya taarifa kutoka kwa wakosoaji wa serikali na kupeleka kwenye idara ya kijasusi .
*Kwa upande wa Afrika watu hawa wanapelekwa sana kwenye vyama vya upinzani ambapo kazi yao inakuwa ni kukusanya taarifa kutoka upinzani na kuzipeleka kwenye vyombo vya usalama,Pia mtu huu upeleka mipango wanayopanga na wapinzani kwenda kwenye vyombo vya usalama

**Kwenye nyanja ya ujasusi hapa duniani hakuna kosa Kwa idara ya kijasusi kupeleka watu wake kwenye vyama vya upinzani ila kosa linakuwa watu hao wanaopelekwa huko Kwenye vyama vya upinzani wanapelekwa kwa lengo gani ?? Zaidi wanakwenda Kwa lengo la kuvuruga vyama upinzani na kulinda maslahi ya Chama tawala,

Huko Ulaya au Marekani ya mashiriki ya kijasusi wanatuma watu wao kwenye vyama upinzani na vyama tawala kwa lengo la kusimamia maslahi ya nchi siyo kusimamia maslahi ya vyama tawala badala ya kuvuruga vyama vya upinzani,

*Tofauti ni kwamba huko Ulaya na Merekani hawa watu wanaotumwa mashirika yao ya kijasusi kwenye vya upinzani ni Kwa ajili ya kulinda maslahi ya nchi lakin Afrika hawa watu wanatumwa na idara za kijasusi kwenda vyama vya upinzani kulinda maslahi ya vyama tawala na kuvuruga vyama vya upinzani.

**Kwa lugha ya kijasusi hawa watu Wana majina mengi mfano.
👇🏻👇🏻👇🏻👇🏻👇🏻
1.Agent Provocateur: Huyu ni mtu ambaye anatumwa na idara za kijasusi kwenda vyama vya upinzani Kwa ajilli ya kuhamamisha wenzake wavunje sheria Ili waweze kukamatwa na vyombo vya usalama.
2.Double Agent: Huyu ni mtu ambaye anakuwa anatumikia mabwana mawili Kwa wakati Mmoja, yan anatumikia upinzani na idara za kijasusi , wakati mwingine huyu mtu anaweza kuwapelekea habari vyama vya upinzani kutoka serikalini ili aweze kuaminika lakini habari hizo zinakuwa hazina madhara Kwa serikali na wakati mwingine hizo habari zinaweza zikawa za uongo kijasusi zinaitwa
(Disinformation)

3.Controlled Opposition,(Upinzani Unaodhibitiwa) huyu ni Mtu au kikundi ambacho kwenye jamii kinaonekana kupinga na kukosoa serikali, ukweli kinakuwa kinaelekezwa cha kusema na kinafadhiliwa na serikali ,pia wakati mwingine kinatumiwa na serikali hiyo hiyo kufatilia upinzani halisi 😂😂😂
4.covert agent.

5.Under cover .

6.Informer

7.Infiltration Agent ni

8.Mole Agent
Uchambuzi wangu wa kijasusi unawatofautisha Freeman Mbowe na Tundu Lissu kupitia mifumo yao ya fikra, kiwango cha kutabirika, na uwezo wao wa kudhibitiwa au kutumika kimkakati.

Mbowe anatazamwa kama mwanamkakati wa diplomasia na maridhiano anayelinda utulivu, huku udhaifu wake ukiwa ni ulazima wa kulinda maslahi yake ya kiuchumi.

Kwa upande mwingine, Lissu anaonekana kama silaha hatari ya kiitikadi na asiyenunulika ambaye hudhibitiwa kwa ugumu kutokana na msimamo wake usioyumba.

Kwa mtazamo wa kiintelijensia, wawili hawa wanakamilishana ambapo Mbowe anafanya kazi kama ngao na Lissu kama mkuki katika mapambano ya kisiasa.
 
Hawa wafanyakazi wa usalama wako wengi wanajifanya ni wapinzani na wanaitukana serikali kisawasawa. Wengine ni wachungaji na masheikh wao wako kwenye nyumba za ibada kutuliza mizuka na mihemko ya watu wakiwaambia waumini tiini mamlaka imetoka kwa mungu, wengine ni wanamuziki wahuni, makahaba, tena hawa makahaba/machangudoa/dada poa si wa kuwachukulia poa utadakwa fasta. Majasusi ni mengi tunayaona kwa jicho la kijasusi
 
Uchambuzi wangu wa kijasusi unawatofautisha Freeman Mbowe na Tundu Lissu kupitia mifumo yao ya fikra, kiwango cha kutabirika, na uwezo wao wa kudhibitiwa au kutumika kimkakati.

Mbowe anatazamwa kama mwanamkakati wa diplomasia na maridhiano anayelinda utulivu, huku udhaifu wake ukiwa ni ulazima wa kulinda maslahi yake ya kiuchumi.

Kwa upande mwingine, Lissu anaonekana kama silaha hatari ya kiitikadi na asiyenunulika ambaye hudhibitiwa kwa ugumu kutokana na msimamo wake usioyumba.

Kwa mtazamo wa kiintelijensia, wawili hawa wanakamilishana ambapo Mbowe anafanya kazi kama ngao na Lissu kama mkuki katika mapambano ya kisiasa.
Brother leo ntakwambia kitu utaamua kukichukua au kukiacha.... Hakuna wakati ambao LISSU AMEFAIDIKA kama wakati huu akiwa ndani; kiuchumi kwa sasa lisu yupo level nyingine kabisa.

Lissu na Mbowe ni kitu kimoja ila sura mbili tofauti.. Lissu amefanikiwa kutumia udhaifu uliotokea kwa Mbowe kijiwekea mazingira ya kuaminika ila siku ukweli ukijulikana MTAZIBA MIDOMO.

HAYUPO NWANAHARAKATI AU MWANASIASA MSAFI MUDA NA MASLAHI NDIO HUAMUA...

Note.

MBOWE alipiga akakaa kimya ikamtokea puani na ikakost nafasi yake ndani ya chama ila wengi mnajidanganya kwamba ni harakati zilimtoa JAMAA kashafika bei ila shart lake moja ndo gumu. Nalo linatafutiwa ufumbuzi.

ZIADA.

Nibora Mbowe akae kimya kama ilivyo kuliko aanze kuongea ni wachache wanaliona hili. Siku akifungua mdomo huenda ndio mwisho wa nguvu ya CHADEMA na wanaharakati.
 
Kuna mchungaji/askofu na sheikh walipokufa misiba yao ilishangaza! Maofisa wa serikali walijazana na kuzua maswali mengi inakuwaje kunakuwa na nguvu nyingi za serikali wakati wale ni wanadini tu? Mama mchungaji mmoja naye alikufa, kwenye kuaga mwili wake maaskari wakawa wanapiga saluti kuaga huku sie tunajua huyo mama ni mama mchungaji tu hana kazi nyingine kwa nini apigiwe saluti na maaskari?
 
Haya mambo ya ujasusi yanafikirisha sana kwa watu tunaowaona ni wa kawaida. Kuna jambazi moja sugu lilishindikana kukamatwa kwenye ujambazi wake hadi likaamua lenyewe liokoke liachane na ujambazi. Likaenda kanisani kutubu, mchungaji akapiga simu polisi wakaja kulikamata. Mchungaji alimchomea utambi badala ya kumtunza mtenda dhambi aliyeokoka mchungaji akakiuka miiko ya uchungaji
 
Hataka kama kuna ujasusi bas mm naamini mbowe ni miongon ila lisu miongoni coz hakuna ujasus wa kupigana shaba hapa dunian ili kuzuga umma,wala hakuna ujasus wa kutekana na kuuwana wenyewe kwa wenyewe ili kutimiza lengo la ofis
 
Brother leo ntakwambia kitu utaamua kukichukua au kukiacha.... Hakuna wakati ambao LISSU AMEFAIDIKA kama wakati huu akiwa ndani; kiuchumi kwa sasa lisu yupo level nyingine kabisa.

Lissu na Mbowe ni kitu kimoja ila sura mbili tofauti.. Lissu amefanikiwa kutumia udhaifu uliotokea kwa Mbowe kijiwekea mazingira ya kuaminika ila siku ukweli ukijulikana MTAZIBA MIDOMO.

HAYUPO NWANAHARAKATI AU MWANASIASA MSAFI MUDA NA MASLAHI NDIO HUAMUA...

Note.

MBOWE alipiga akakaa kimya ikamtokea puani na ikakost nafasi yake ndani ya chama ila wengi mnajidanganya kwamba ni harakati zilimtoa JAMAA kashafika bei ila shart lake moja ndo gumu. Nalo linatafutiwa ufumbuzi.

ZIADA.

Nibora Mbowe akae kimya kama ilivyo kuliko aanze kuongea ni wachache wanaliona hili. Siku akifungua mdomo huenda ndio mwisho wa nguvu ya CHADEMA na wanaharakati.
Uongo wako mtakatifu haiwezi kuaminiwa hata na chizi kwamba lissu nae NI sawa na mbowe mwogopeni Sana muumba au na wewe ndio wanasema heche anafaidika na kufungwa kwa lissu shenzy nyingi maccm
 
Noma sana,nimeokota kitu , vipi kuhusu jasusi la mchongo Yericko Nyerere na masharubu yake kama beberu la pasaka?🤔
Huyu jamaa mna-promote bure hata wa kusema ni jasusi la mchongo. Jamaa bado ana mawazo yale ya kizamani ya kutaka watu wahisi yeye ni mpelelezi na aogopwe. Watu wa aina hii walikuwepo miaka ya zamani wengi na walitamba sana ila nashangaa huyo bado ana-act kizamani namna hiyo. Zile enzi za kila kichaa mjini kuitwa ni usalama wa taifa. Huyu Yeriko kwa akili zake zilivyo mapepe itakuwa ni vigumu sana kuaminiwa hata na mtu binafsi sembuse idara ya ujasusi. Majasusi wanakuwaga ni watu wako low level sana na hata huwezi kumhisi. Infact hata kuhisiwa wewe ni jasusi wa mchongo ni sifa moja ya kuku-disqualify usifae kwenye hiyo kazi.
 
Back
Top Bottom