Bujibuji Simba Nyamaume
Platinum Member
- Feb 4, 2009
- 78,914
- 168,320
umeibua jambo muhimu sana. Kuna kitu cha kufikirisha sana kiliwahi kujitokeza wakati wa kesi ya Mbowe lakini nilishangaa watu hawakuwahi kabisa kujiuliza, badala yake walijikita kwenye kulia huku wengine wakifanya maombi , wengine wakiingiwa ubaridi kwa kumuonea huruma kwa ukatili aliofanyiwa.##Tujifunze kwenye ujasusi
Kwenye nyanja ya ujasusi hapa duniani Kuna michezo mingiπππ π
Kuna mbinu mmoja ambapo idara ya kijasusi inaweza kutengeneza mtu akawa mkosoaji mkubwa serikali hadharani lakini Kwa siri akawa anafanya kazi na vyombo vya usalama.,Ndio maana kuna msemo unasema kwenye harakati zozote usije ukamuamini mtu yeyote ππ
Wananchi wanakuwa wanaamini mtu huyo Kuwa ni adui wa serikali lakini ukweli ni kwamba ni rafiki wa serikali Kwa siri
**Mtu huyo anaweza akafunguliwa kesi na serikali lakini kesi yake haiwezi kwenda popote wala haiwezi kuleta madhara kwake..
**Mtu huyo anaweza kukamatwa na kupelekwa mahabusu na serikali kwa madai ametenda makosa ukweli ni kwamba mtu huyo hatakwenda mahabusu zaidi ataishi hotelini.
***Mtu huyu akikamatwa na wenzake anatenganishwa wakati wa kupelekwa mahabusu ,wenzanke wanapelekwa mahabusu yeye anapelekwa hotelini kula kuku π€£π€£
**Mtu huyu mara nyingi hutumika kukusanya taarifa kutoka kwa wakosoaji wa serikali na kupeleka kwenye idara ya kijasusi .
*Kwa upande wa Afrika watu hawa wanapelekwa sana kwenye vyama vya upinzani ambapo kazi yao inakuwa ni kukusanya taarifa kutoka upinzani na kuzipeleka kwenye vyombo vya usalama,Pia mtu huu upeleka mipango wanayopanga na wapinzani kwenda kwenye vyombo vya usalama
**Kwenye nyanja ya ujasusi hapa duniani hakuna kosa Kwa idara ya kijasusi kupeleka watu wake kwenye vyama vya upinzani ila kosa linakuwa watu hao wanaopelekwa huko Kwenye vyama vya upinzani wanapelekwa kwa lengo gani ?? Zaidi wanakwenda Kwa lengo la kuvuruga vyama upinzani na kulinda maslahi ya Chama tawala,
Huko Ulaya au Marekani ya mashiriki ya kijasusi wanatuma watu wao kwenye vyama upinzani na vyama tawala kwa lengo la kusimamia maslahi ya nchi siyo kusimamia maslahi ya vyama tawala badala ya kuvuruga vyama vya upinzani,
*Tofauti ni kwamba huko Ulaya na Merekani hawa watu wanaotumwa mashirika yao ya kijasusi kwenye vya upinzani ni Kwa ajili ya kulinda maslahi ya nchi lakin Afrika hawa watu wanatumwa na idara za kijasusi kwenda vyama vya upinzani kulinda maslahi ya vyama tawala na kuvuruga vyama vya upinzani.
**Kwa lugha ya kijasusi hawa watu Wana majina mengi mfano.
ππ»ππ»ππ»ππ»ππ»
1.Agent Provocateur: Huyu ni mtu ambaye anatumwa na idara za kijasusi kwenda vyama vya upinzani Kwa ajilli ya kuhamamisha wenzake wavunje sheria Ili waweze kukamatwa na vyombo vya usalama.
2.Double Agent: Huyu ni mtu ambaye anakuwa anatumikia mabwana mawili Kwa wakati Mmoja, yan anatumikia upinzani na idara za kijasusi , wakati mwingine huyu mtu anaweza kuwapelekea habari vyama vya upinzani kutoka serikalini ili aweze kuaminika lakini habari hizo zinakuwa hazina madhara Kwa serikali na wakati mwingine hizo habari zinaweza zikawa za uongo kijasusi zinaitwa
(Disinformation)
3.Controlled Opposition,(Upinzani Unaodhibitiwa) huyu ni Mtu au kikundi ambacho kwenye jamii kinaonekana kupinga na kukosoa serikali, ukweli kinakuwa kinaelekezwa cha kusema na kinafadhiliwa na serikali ,pia wakati mwingine kinatumiwa na serikali hiyo hiyo kufatilia upinzani halisi πππ
4.covert agent.
5.Under cover .
6.Informer
7.Infiltration Agent ni
8.Mole Agent
Uchambuzi wangu wa kijasusi unawatofautisha Freeman Mbowe na Tundu Lissu kupitia mifumo yao ya fikra, kiwango cha kutabirika, na uwezo wao wa kudhibitiwa au kutumika kimkakati.##Tujifunze kwenye ujasusi

Brother leo ntakwambia kitu utaamua kukichukua au kukiacha.... Hakuna wakati ambao LISSU AMEFAIDIKA kama wakati huu akiwa ndani; kiuchumi kwa sasa lisu yupo level nyingine kabisa.Uchambuzi wangu wa kijasusi unawatofautisha Freeman Mbowe na Tundu Lissu kupitia mifumo yao ya fikra, kiwango cha kutabirika, na uwezo wao wa kudhibitiwa au kutumika kimkakati.
Mbowe anatazamwa kama mwanamkakati wa diplomasia na maridhiano anayelinda utulivu, huku udhaifu wake ukiwa ni ulazima wa kulinda maslahi yake ya kiuchumi.
Kwa upande mwingine, Lissu anaonekana kama silaha hatari ya kiitikadi na asiyenunulika ambaye hudhibitiwa kwa ugumu kutokana na msimamo wake usioyumba.
Kwa mtazamo wa kiintelijensia, wawili hawa wanakamilishana ambapo Mbowe anafanya kazi kama ngao na Lissu kama mkuki katika mapambano ya kisiasa.
Jasusi la ChaummaNoma sana,nimeokota kitu , vipi kuhusu jasusi la mchongo Yericko Nyerere na masharubu yake kama beberu la pasaka?π€
Uongo wako mtakatifu haiwezi kuaminiwa hata na chizi kwamba lissu nae NI sawa na mbowe mwogopeni Sana muumba au na wewe ndio wanasema heche anafaidika na kufungwa kwa lissu shenzy nyingi maccmBrother leo ntakwambia kitu utaamua kukichukua au kukiacha.... Hakuna wakati ambao LISSU AMEFAIDIKA kama wakati huu akiwa ndani; kiuchumi kwa sasa lisu yupo level nyingine kabisa.
Lissu na Mbowe ni kitu kimoja ila sura mbili tofauti.. Lissu amefanikiwa kutumia udhaifu uliotokea kwa Mbowe kijiwekea mazingira ya kuaminika ila siku ukweli ukijulikana MTAZIBA MIDOMO.
HAYUPO NWANAHARAKATI AU MWANASIASA MSAFI MUDA NA MASLAHI NDIO HUAMUA...
Note.
MBOWE alipiga akakaa kimya ikamtokea puani na ikakost nafasi yake ndani ya chama ila wengi mnajidanganya kwamba ni harakati zilimtoa JAMAA kashafika bei ila shart lake moja ndo gumu. Nalo linatafutiwa ufumbuzi.
ZIADA.
Nibora Mbowe akae kimya kama ilivyo kuliko aanze kuongea ni wachache wanaliona hili. Siku akifungua mdomo huenda ndio mwisho wa nguvu ya CHADEMA na wanaharakati.
Huyu jamaa mna-promote bure hata wa kusema ni jasusi la mchongo. Jamaa bado ana mawazo yale ya kizamani ya kutaka watu wahisi yeye ni mpelelezi na aogopwe. Watu wa aina hii walikuwepo miaka ya zamani wengi na walitamba sana ila nashangaa huyo bado ana-act kizamani namna hiyo. Zile enzi za kila kichaa mjini kuitwa ni usalama wa taifa. Huyu Yeriko kwa akili zake zilivyo mapepe itakuwa ni vigumu sana kuaminiwa hata na mtu binafsi sembuse idara ya ujasusi. Majasusi wanakuwaga ni watu wako low level sana na hata huwezi kumhisi. Infact hata kuhisiwa wewe ni jasusi wa mchongo ni sifa moja ya kuku-disqualify usifae kwenye hiyo kazi.Noma sana,nimeokota kitu , vipi kuhusu jasusi la mchongo Yericko Nyerere na masharubu yake kama beberu la pasaka?π€