Tofauti kati ya Zari na Mange kimambi

Snitch2020

Member
Joined
Aug 24, 2017
Posts
77
Reaction score
91
Mambo vipi waswahili wenzangu. Mimi naitwa Snitch ni mmiliki wa account zaid ya 39 instagram lakin sina hata account moja ya bank.

Nisikuchoshe kwa porojo ila naomba nikwambie wewe Dada mange (kimambi-mbi )+vi kuwa tofauti yako na Dada Zari ni kubwa sana. Mwenzako ni.Celebrity na wewe ni nobody. Mwenzako anapesa wewe una maneno.

Na mwenzako analipwa ili kutumia kitu flani (mavazi,vinywaji na hata chakula) lakin wewe pesa mpaka tukuchangie. Kwanini nimeamua kuyasema haya.? Hii ni baada ya Mange kupost video na kusema kuwa eti zari anavaa fake na havai brands tofauti kama anazonunua yeye na wengineo.

Mange kasahau kuwa Zari habebi kitu cheny jina lolote bila ya hilo jina kumlipa na anadhani zari yupo level zake. Pia Dada mange usisahau kuwa wewe bila ya kumuongelea Zari na Mondi hupat kiki hivyo tunakuomba uendelee kuwafatilia ili kuboost page yako.

Naitwa Snitch2020 naishi one block away from Mange kimambi

 
mange anamchukia zari balaa yani hata zari afanyeje hawezi kumsifia alifiwa na x wake mange akachamba akafiwa na mama yake bado mange akamchamba diamond kamcheat bado anamchamba Leo ndo atamwacha
Hawez mwacha ila ndo asijifananishe nae.
 
Sasa muanzisha uzi ingekuwa vizuri kama huu ujumbe ungemfikishia mwenyewe direct
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…