Tofauti kati ya Zari na Mange kimambi

Tofauti kati ya Zari na Mange kimambi

Kama mnajiamini na mnachokiongea tumieni majina halis ndio mumnange Hon
Mange Kimambi. Halafu kesho yake tukawasome vizuri kwa page ya Hon. Mange Kimambi.
 
Nilikuwa navutiwa na harakati za Mange ila imefika sehemu nimeamua kumu-unfollow maana hatred aliyo nayo juu ya watu flan flan ni too much nikaona atanipoison na mimi.Unajikuta unasoma post yake hadi unajuta kwa nn uliisoma.Too negative,too judgemental anaonekana alikuwaga anawabully wenzie tokea shuleni.Watu wa namna hii ni wa kukaa nao mbali mno
Tuulize wambea wa zamani tukwambie Mange ni nani, alishawahi m-bully mwanamama mmoja hadi alifanya majaribio yakujiua akaokolewa heheh [emoji23]. Sio mtu yule, ila kwa sasa anafaida kwa makamanda.
 
Tuulize wambea wa zamani tukwambie Mange ni nani, alishawahi m-bully mwanamama mmoja hadi alifanya majaribio yakujiua akaokolewa heheh [emoji23]. Sio mtu yule, ila kwa sasa anafaida kwa makamanda.
Nilimsomaga sana Uturn nikaja nikaacha.Nikamfollow inst nikafika sehemu nikaona too much kubully watu.Hapana aisee..anainflict chuki kwenye vichwa vya watu na kubully anakuweza haswaaa..
 
Mambo vipi waswahili wenzangu. Mimi naitwa Snitch ni mmiliki wa account zaid ya 39 instagram lakin sina hata account moja ya bank.

Nisikuchoshe kwa porojo ila naomba nikwambie wewe Dada mange (kimambi-mbi )+vi kuwa tofauti yako na Dada Zari ni kubwa sana. Mwenzako ni.Celebrity na wewe ni nobody. Mwenzako anapesa wewe una maneno.

Na mwenzako analipwa ili kutumia kitu flani (mavazi,vinywaji na hata chakula) lakin wewe pesa mpaka tukuchangie. Kwanini nimeamua kuyasema haya.? Hii ni baada ya Mange kupost video na kusema kuwa eti zari anavaa fake na havai brands tofauti kama anazonunua yeye na wengineo.

Mange kasahau kuwa Zari habebi kitu cheny jina lolote bila ya hilo jina kumlipa na anadhani zari yupo level zake. Pia Dada mange usisahau kuwa wewe bila ya kumuongelea Zari na Mondi hupat kiki hivyo tunakuomba uendelee kuwafatilia ili kuboost page yako.

Naitwa Snitch2020 naishi one block away from Mange kimambi

View attachment 609678 View attachment 609679 View attachment 609681 View attachment 609682
kumbe unamkubali Mange sio
 
Back
Top Bottom