mjingamimi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2015
- 42,209
- 51,004
Mange anamtaka diamondmange anamchukia zari balaa yani hata zari afanyeje hawezi kumsifia alifiwa na x wake mange akachamba akafiwa na mama yake bado mange akamchamba diamond kamcheat bado anamchamba Leo ndo atamwacha