Tofauti kati ya Zari na Mange kimambi

mange anamchukia zari balaa yani hata zari afanyeje hawezi kumsifia alifiwa na x wake mange akachamba akafiwa na mama yake bado mange akamchamba diamond kamcheat bado anamchamba Leo ndo atamwacha
Mange anamtaka diamond
 
Mange kimavi alikimbia tz akienda marekani kutafuta maisha bora...but mda wote akili yake iko tz...instead ya kucontrate kwenye maisha bora aloyakimbilia huko usa....akili iko tz...marekani unaishi mwili akili tz...she is misfit in both societies,huwez kumfananisha that misfit na zari,anaeishi maisha ya ndoto ya mange huku afrika,mange hana standard ya maisha,ya zari...
 
Watanzania tumejaaliwa umbea,na kufuatilia mambo binafsi ya watu hata mtz aende wapi bado hiyo asili anayo kwenye damu ndo haya ya Mange kimambi.

Yeye kufuatilia maisha binafsi ya Diamond na familia yake ndo raha kwake na kashaamua kumchukia tuu bila sababu za msingi,sielewagi watz wa namna na khaliba ya namna hii ni wa namna gani,hawanaga mambo ya kufuatilia zaidi ya maisha binafsi ya mtu au hawanaga kazi tuu basi kazi yao inabaki kupandikiza chuki tuu na kuongelea negative watu wengine
 
Hata wewe ulie tuletea Uzi wako wa mange una kichaa chako....unamzungumzia MTU ambaye sidhani hata kwenye maisha yako yaliyobaki unaweza kuja kuonana nae...nchi ina matatizo lukuki unatuletea Uzi wa udaku kiss mahaba yako kwa zari....na kweli we snitch[emoji35]
 
Sio sawa kumfananisha Zari na vitu vya ajabu
Kale kamwanamke kana wivu usio na mfano, kalianza uchuro kwenye Danube kwamba hakatoi kik sa sijui zari anahitaji kik gani kwa mange, baada ya mapokezi yenye kiwango cha lami kamekuja na ishu ya mikoba fake, kwani mkoba fake haubebi vitu, roho mbaya ndio maana hakafanikiwi kameuza nguo, kamefungua app vyote hola, baba keanu nae akapunguza matumizi ndo akakachanganya make kanategemea hiyo child support
 
Hahahah poor bitch Mange, bora angekuwa na busara ila hizo nazo pia hana majungu tu.
Vs
Zarina smart na anajiweza sana at least anaijua nafasi na wajibu wake ulimwenguni.

Summary: Filthy insane vs Filthy rich
 
hawa wa nitarejea akutana na wachungaji wapiga dili kwa kutumia jina la Mungu, wamuabisha na kumdhalilisha
 
Mange bwana saiv kahamia kwenye mikoba feki.
Haya mtu ana mikoba feki lakin anakaa kwake. Nyumba kubwa anajitegemea in everything.
Yeye mwenye mikoba og ndio anaishi kwa child support na viporo kwa kwenda mbele. Anasahau kila mtu ana priorities zake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…