Tofauti kati ya Zari na Mange kimambi

We nae mkomee mange

Sasa amkome kwa lipi. Nani akome. Anayeingilia maisha binafsi Au huyu msemaji hapa. Wewe ni Mama Sabrina Au Mange. Kaa kimya tu. Matusi yale ya mange ndo unataka Siku moja Sabrina aje kukutumia wewe ehhh. Pumbavu
 
We mwehu kweli kwa nini unaongeza tusi au kejeli mbele ya jina la mzazi wa mtu??? Weka real ID yako tukuongezee na wewe. Ww ni mshamba kama wengine tuu na ww pia una chuki kwa mange pia. Ungeandika vzr tuu bila kuongeza ujinga mbele ya jina la marehemu baba wa watu kazi kufata mkumbo tuu.
 
makubwa haya kwa hiyo Louis Vuitton wanamlipa Zari awabebee bidhaa zao
 
they are both slay queens. The only difference is that one talks too much.
 
Sasa uzi umepsndisha huku ili iweje? Nenda kamjibu mange huko insta akuchambe na kukuvua nguo..

Unaleta uzi humu tena kwa id fake.. Mjibie huko insta kama una balls hizo
 
Mange bana, sasa yeye si ndiye anapaswa kubeba hizo brand ili aonekane, wakati mwenzake yeye mwenyewe ndio brand, Calvin klein wao ndio wangemuhitaji.....mwenzake hata kaniki zitamtoa, sasa designer wa nini?
 
Nilikuwa navutiwa na harakati za Mange ila imefika sehemu nimeamua kumu-unfollow maana hatred aliyo nayo juu ya watu flan flan ni too much nikaona atanipoison na mimi.Unajikuta unasoma post yake hadi unajuta kwa nn uliisoma.Too negative,too judgemental anaonekana alikuwaga anawabully wenzie tokea shuleni.Watu wa namna hii ni wa kukaa nao mbali mno
 
Sam Mangwana katika wimbo wa pamoja na Le Garand Maestro Franco Lwambo Lwanzo Makiadi wa Tout Puissant Orchestra Kinshasa Jazz Band aliimba..

"Kujulikana kumbe tabu Mwana Mboka. Ukiwa gentil kama muchedo wana shangaa. Ukitembeya peke yako wana sema weye ndo mbaya ah. Kujulikana kuna mambo, Lwambo wetu, maaamuu ."
 

Mkuu utajutia uamuzi wako ,we kama timu Diamond na Zari akipost mambo ya diamond unaipita tu hiyo post ,unasoma tu unazozitaka .

Najua utajutia uamuzi wako siku akiwa anatoa mahabari motooooo watz wakifuatilia eti umemu unfollow kisa mind pole yako maana hata huyo mond kamfolow mange
 
Kale kachawi hpo hakajazeeka katakua kanapaa na ungo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…