Tofauti kubwa ya Ally Kiba na Diamond hii hapa

Alikiba kwenye nyimbo yake fulani aliimba haya maneno na naona yanatimia.
"Yule alie kupa wewe, ndo kaninyima mimi, na kama riziki anatoa yeye........ ila Mungu ndo anatoa hata kwa foleni hata kama niko nyuma nitapata lazima."

Hahahaaaaa,mkiwepo watu wa5 kama wewe JF siku yangu lazima iishe vizuri aisee
 
Kiba anabusara sana, hata kwenye kipindi cha Mkasi aliyasema haya, kwa kubainisha kuwa yeye ni mshabiki wa muziki mzuri siku zote.
 
Asanta.
 
mwl wako wa kiswahili olevel na adv mpe shikamoo yake
 
apeleke unafki wake kuleeeeeee, alivutiwaje na mtu aliyezomewa???haingii akilini, nikujinakisha kwenye vyombo vya habari aonekane wa maana, kwenye kipindi cha mkasi alisema nini juu ya daimond, leo aje avutiwe nae??
 
Last edited by a moderator:

Koroga ndimu unywe na kama haitoshi saga chupa ubwie na ushushie na Jiki.

Ally Kiba woyeeeeeeee.

Nakupa dedication ya nyimbo ya mbongo fleva mmoja wanaimba hivi;

Kama ningeweza kuzirudisha siku nyuma × 3

Ningekuomba uwe na moyo wa subiraa ahaa × 3
 
apeleke unafki wake kuleeeeeee, alivutiwaje na mtu aliyezomewa???haingii akilini, nikujinakisha kwenye vyombo vya habari aonekane wa maana, kwenye kipindi cha mkasi alisema nini juu ya daimond, leo aje avutiwe nae??

Kwani alisemaje bibie???au wewe ndie director josh nini?Mimi sikusikia sehemu yoyote aliyotoa kashfa dhidi yake,alisema hadi miziki yake huwa anasikiliza kwa sababu anapenda mziki mzuri
 
kama sababu ya kumchukia mondi ni huko kuwavua wanawake vyupi?? kiba yeye kawavua wangapi??? mbona wa kiba hamuwataji hapa, ndio maana mwisho wa siku tunaona mnachuki tuu na roho mbaya,hakuna anachofanya mondi ambacho kiba hakufanya alipokuwa juu miaka ile, ubo.oo wake kautembeza sana tena kwa mijimama mikubwa, nyodo kazionesha sana kisa kaitwa G8 msijidai kusahau, kilichomsaidia kiba kipindi kile hizi simu za kupangusa hazikuwa zimeenea kama hivi, so habari kuenea kwa kasi kama ilivyokuwa kwa mondi haikuwa sana. na alivyofulia ndio watu wakamsahau kabisa, sasa kaibuka mnataka kumfanya mtakatifu sana.
kijana hana scandal
kijana hana majidai. tafuteni kingine cha kumsifia
 
Last edited by a moderator:
ndo mjue kwamba diamond na kiba hawana bifu..tatizo ni nyie mashabik mav..kutupigia kelele humu jf..
muone macho yako domondo huyo huyo alisema yuko tayari kumsaidia ali kiba kufanya kolabo,we kichuguu utasaidiaje mlima
 
hahahaa mbona umepanic brazaa?????
 
Ooooh jamani...Mimi ndio maana nazidi kumpenda Kiba,ana busara sana jamani,wakati mwenzie anahaha kumdharau eti 'atamsaidia' lakini yeye anamsifia
Am speechless jamani nimefurahi sana (lakini haizidi juzi leaders)
Ali Kiba anajua uwezo wa Diamond ndio maana wala yeye haoni vibaya kusaidiwa na Diamond. Na ndio maana anamtaja bila wasiwasi ninyi washabiki ndio wachonganishi! kwani kusaidiwa ni dhambi?
 
Ali Kiba anajua uwezo wa Diamond ndio maana wala yeye haoni vibaya kusaidiwa na Diamond. Na ndio maana anamtaja bila wasiwasi ninyi washabiki ndio wachonganishi! kwani kusaidiwa ni dhambi?

Dhambi tena kubwa sana,mashabiki wa Kiba tungemuacha ipo siku angesema amsaidie Kiba kwa wifi yetu wakati yeye hata mtoto wa kusingiziwa hana....
 
Dhambi tena kubwa sana,mashabiki wa Kiba tungemuacha ipo siku angesema amsaidie Kiba kwa wifi yetu wakati yeye hata mtoto wa kusingiziwa hana....

Kiba mwenyewe wala hana habari, ni muelewa na alielewa Diamond kamaanisha nini na amekubaliana nalo, sasa ninyi mnaokuja na bifu wala haiwahusu!
 
Mashabiki wa ndomo safari hii inabidi muwe wapole sana.
Manake hakuna jinsi msanii wenu ameshachuja machoni pa watanzania na watanzania ninavyowafahamu wakikuangusha wamekuangusha.
Kilichotokea pale leaders hata davido mwenyewe haamini macho yake.

Mh! Ndo alivyokwambia huyo Davido kwamba haamini macho yake?yaani jf wamejaa majaji na maconcluders kila mtu anajifanya anajua kuconclude eti maeisha kwa lipi kuzomewa au?mimi sidhani kama kuzomewa kunamaanisha kaisha wapo wanaomchukia na kumzomea but kwa upande mwingine kuna wanaompenda tena sana sidhani kama mashabiki wa kiba ndio wana mamlaka ya kumshusha na kumpandisha mtu so msiwe mnaconclude watanzania hatumpendi koz sio wote hamjaenda mikoani huko ambako diamond ndo kila kitu hiyo ni dar pekee.So msijifariji kaisha landa kaisha kwa dar ila pande nyingine za Tz Diamond forever
 
Kiba mwenyewe wala hana habari, ni muelewa na alielewa Diamond kamaanisha nini na amekubaliana nalo, sasa ninyi mnaokuja na bifu wala haiwahusu!

Loh,acha umbea wewe....kakubaliana nalo alikuambia???uliona ile clip aliyoweka kabla ya show yake kuanza pale leaders???alisema hataki kushindana na watoto...sasa hilo la kusaidiwa atakubaliana nalo???
 
Dhambi tena kubwa sana,mashabiki wa Kiba tungemuacha ipo siku angesema amsaidie Kiba kwa wifi yetu wakati yeye hata mtoto wa kusingiziwa hana....

hahaaaa
nakuona mzigoni km kawa
km dawa!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…