Binti Magufuli
JF-Expert Member
- Apr 2, 2011
- 7,479
- 5,157
Ni loading, au? kwema lakini?
Kerma nilikuwa navuta pumzi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni loading, au? kwema lakini?
Alikiba kwenye nyimbo yake fulani aliimba haya maneno na naona yanatimia.
"Yule alie kupa wewe, ndo kaninyima mimi, na kama riziki anatoa yeye........ ila Mungu ndo anatoa hata kwa foleni hata kama niko nyuma nitapata lazima."
Hawa no wasanii wawili todauti kulingana na aina ya miziki yao. Kiba meseji sauti na upangaji wa vina no 100%. Kwa maana nyingine mziki wake Una utamu masikioni. Diamond yeye bora soko. Ukisikiliza nyimbo zake ni mule mule naweza sema ubunifu si mkubwa Sana ndo maana hata yeye alisema h@mini kwenye talent.
Mziki ukiwa na maudhui Mara nyingi fani inakuwa ndogo, na fani ikiwa kubwa maudhui ni kidogo. So kiba ni Mzee wa maudhui na diamond ni Mzee wa fani

Ally Kiba akihojiwa na Amplifire ya Mirlad Ayo ameulizwa maoni yake ni wasanii gani walimvutia kwenye show ya Fiesta amewataja wanamuziki kadhaa pamoja na Diamond.
My take: hapa ndio tofauti ya mtu mwenye akili na huyu mswahili wa Tandale unapoona ni watu wawili tofauti kabisa. Kiba ameonesha gape kubwa ya uelewa kati yake na domo.
Anayetaka kusikia mwenyewe mahojiano ya Kiba na Ayo aingie kwenye web ya Ayo.
Cc: Dinazarde warumi matumbo NasDaz geniveros nifah michael western
Kwahiyo wewe unahisi ufanye nini.
apeleke unafki wake kuleeeeeee, alivutiwaje na mtu aliyezomewa???haingii akilini, nikujinakisha kwenye vyombo vya habari aonekane wa maana, kwenye kipindi cha mkasi alisema nini juu ya daimond, leo aje avutiwe nae??

Mkuu Matola unasumbuliwa na mahaba... kwani Ali K kumtaja Diamond ndio nini? Inawezekana kamtaja kinafiki tu, moja lakini mbili ni huku kwa social networks na media ndiko tunachochea bifu! Binafsi sina nongwa na Kiba ila nina nongwa na wale wanaomchukia mtu bila sababu za msingi!! Kuna mmoja kaja na kali ya mwaka kwamba eti Diamond anawavua sana chu*pi mademu.... aaaaaargh, wanaovuliwa wenyewe halalamiki anakuja kulalamika mtu mwingine.... nyie watu vipi???!!!! Afadhali basi angekuwa anavua watoto wa shule tungesema anawarubuni lakini mimama mijitu mizima imevuliwa chu*pi na wanaume kibao wengine sawa na baba zao, akawavua Dangote inakuwa nongwa.... eheeee!
muone macho yako domondo huyo huyo alisema yuko tayari kumsaidia ali kiba kufanya kolabo,we kichuguu utasaidiaje mlimando mjue kwamba diamond na kiba hawana bifu..tatizo ni nyie mashabik mav..kutupigia kelele humu jf..
Koroga ndimu unywe na kama haitoshi saga chupa ubwie na ushushie na Jiki.
Ally Kiba woyeeeeeeee.
Nakupa dedication ya nyimbo ya mbongo fleva mmoja wanaimba hivi;
Kama ningeweza kuzirudisha siku nyuma × 3
Ningekuomba uwe na moyo wa subiraa ahaa × 3
Ali Kiba anajua uwezo wa Diamond ndio maana wala yeye haoni vibaya kusaidiwa na Diamond. Na ndio maana anamtaja bila wasiwasi ninyi washabiki ndio wachonganishi! kwani kusaidiwa ni dhambi?Ooooh jamani...Mimi ndio maana nazidi kumpenda Kiba,ana busara sana jamani,wakati mwenzie anahaha kumdharau eti 'atamsaidia' lakini yeye anamsifia
Am speechless jamani nimefurahi sana (lakini haizidi juzi leaders)
Ali Kiba anajua uwezo wa Diamond ndio maana wala yeye haoni vibaya kusaidiwa na Diamond. Na ndio maana anamtaja bila wasiwasi ninyi washabiki ndio wachonganishi! kwani kusaidiwa ni dhambi?
Dhambi tena kubwa sana,mashabiki wa Kiba tungemuacha ipo siku angesema amsaidie Kiba kwa wifi yetu wakati yeye hata mtoto wa kusingiziwa hana....
Mashabiki wa ndomo safari hii inabidi muwe wapole sana.
Manake hakuna jinsi msanii wenu ameshachuja machoni pa watanzania na watanzania ninavyowafahamu wakikuangusha wamekuangusha.
Kilichotokea pale leaders hata davido mwenyewe haamini macho yake.
mwl wako wa kiswahili olevel na adv mpe shikamoo yake
Kiba mwenyewe wala hana habari, ni muelewa na alielewa Diamond kamaanisha nini na amekubaliana nalo, sasa ninyi mnaokuja na bifu wala haiwahusu!
Dhambi tena kubwa sana,mashabiki wa Kiba tungemuacha ipo siku angesema amsaidie Kiba kwa wifi yetu wakati yeye hata mtoto wa kusingiziwa hana....
Haha ujue Mimi in std 7 leaver?A level naisikia redioni. Ila shukrani