Tofauti kubwa ya Ally Kiba na Diamond hii hapa

Kuna watu wanaengineer mchezo mchafu ile diamond apotee katika ramani ya mziki kama ni matamasha ayafanye kwa kiasi kidogo cha pesa ili wao wafaidike.Mapromota mpoo?
 
Povu lote la nini? Kamuwa ndimu unywe.

Ni crime kumkubali Ally Kiba? Wewe kuna mtu amekuzuia usimpende domo? Usipanic.
Khaa! Ni-panic kisa? Mie wote nasikiliza nyimbo zao na ndio maana huwezi kukuta nimemponda Ali Kiba! Najua Ali Kiba na Diamond wote ni wanadamu na kila mmoja ana mapungufu yake...! Mbaya zaidi, wengi humu tunatumia maneno ya kuokoteza kwenye social networks. Mathalani, hivi Matola nikikuambia unipe source ya kuaminika iliyomnkuu Diamond akiponda hotel za Mbeya unaweza kutoa? Lakini hiyo nayo imekuwa big issue... Diamond yule yule ambae hata hoteli za Mtwara hakuwahi kuziponda leo tunaambiwa kaziponda hotel za Mbeya!
 
Kuna watu wanaengineer mchezo mchafu ile diamond apotee katika ramani ya mziki kama ni matamasha ayafanye kwa kiasi kidogo cha pesa ili wao wafaidike.Mapromota mpoo?
Waajisumbua tu... huu ni wakati wake! Hata leo hii akipiga show, nyomi kama kwa tu! Alianza mburula mmoja aliyekuwa anajiita Ustaadh nani cjui akadai lazima amshushe Diamond... matokeo yake ndo kwanza akazidi kuwa high!
 
Khaa! Ni-panic kisa? Mie wote nasikiliza nyimbo zao na ndio maana huwezi kukuta nimemponda Ali Kiba! Najua Ali Kiba na Diamond wote ni wanadamu na kila mmoja ana mapungufu yake...! Mbaya zaidi, wengi humu tunatumia maneno ya kuokoteza kwenye social networks. Mathalani, hivi Matola nikikuambia unipe source ya kuaminika iliyomnkuu Diamond akiponda hotel za Mbeya unaweza kutoa? Lakini hiyo nayo imekuwa big issue... Diamond yule yule ambae hata hoteli za Mtwara hakuwahi kuziponda leo tunaambiwa kaziponda hotel za Mbeya!

Hawezi kuponda hotel ila anaweza kumsaidia Ally Kiba si ndio?
 
Mkuu Matola unasumbuliwa na mahaba... kwani Ali K kumtaja Diamond ndio nini? Inawezekana kamtaja kinafiki tu, moja lakini mbili ni huku kwa social networks na media ndiko tunachochea bifu! Binafsi sina nongwa na Kiba ila nina nongwa na wale wanaomchukia mtu bila sababu za msingi!! Kuna mmoja kaja na kali ya mwaka kwamba eti Diamond anawavua sana chu*pi mademu.... aaaaaargh, wanaovuliwa wenyewe halalamiki anakuja kulalamika mtu mwingine.... nyie watu vipi???!!!! Afadhali basi angekuwa anavua watoto wa shule tungesema anawarubuni lakini mimama mijitu mizima imevuliwa chu*pi na wanaume kibao wengine sawa na baba zao, akawavua Dangote inakuwa nongwa.... eheeee!

inawezekana pia hajamtaja kinafiki..labda kiba hana dharau, labda kiba is more matured na labda kiba kazungukwa na watu wenye akili timamu na labda vilevile kiba unaweza ukampeleka mbeya na asikatae kwa sababu ya kwamba hakuna hoteli ya hadhi yake kulala
 
Khaa! Ni-panic kisa? Mie wote nasikiliza nyimbo zao na ndio maana huwezi kukuta nimemponda Ali Kiba! Najua Ali Kiba na Diamond wote ni wanadamu na kila mmoja ana mapungufu yake...! Mbaya zaidi, wengi humu tunatumia maneno ya kuokoteza kwenye social networks. Mathalani, hivi Matola nikikuambia unipe source ya kuaminika iliyomnkuu Diamond akiponda hotel za Mbeya unaweza kutoa? Lakini hiyo nayo imekuwa big issue... Diamond yule yule ambae hata hoteli za Mtwara hakuwahi kuziponda leo tunaambiwa kaziponda hotel za Mbeya!

alisifia ile ya mtwara , naf beach hotel ndo akapondea za mbeya
 
Hv Diamond toka lini kafanya interview akamponda msanii mwenzake?
 
Ametangaza kumsaidia Ally Kiba ila majibu alisubiliwa Fiesta ili ulimwengu wote uone nani anahitaji kusaidiwa, na kila mwenye akili timamu amejuwa ukweli nani ni King.
 
Nyie pigizaneni kelele wenzenu wanaramba chapaa....waacheni, kama wanabifu au hawana inatuhusu vipi?fanya yako,wewe subiri wakitoa nyimbo sikiliza , burudika ,full stop.mengine waachieni wenyewe!hamjui tu hivi mkiwajadili kila dakika mbili thread mpya ni kuwapa promo na kuwamarkert bila kijijua.imekuwa too much sasa hatuli hatunywi kibaaaa diamondiiiii khaaaa! Hebu geuzeni cd tujadili mengijne sasa ya msingi lol.....
Ni mawazo yangu tu, ni maneno sio sheria...kama vipi pita kimya!
 
Acha watu wamwagike hadi server za jf zifurike! !
 
Nyie pigizaneni kelele wenzenu wanaramba chapaa....waacheni, kama wanabifu au hawana inatuhusu vipi?fanya yako,wewe subiri wakitoa nyimbo sikiliza , burudika ,full stop.mengine waachieni wenyewe!hamjui tu hivi mkiwajadili kila dakika mbili thread mpya ni kuwapa promo na kuwamarkert bila kijijua.imekuwa too much sasa hatuli hatunywi kibaaaa diamondiiiii khaaaa! Hebu geuzeni cd tujadili mengijne sasa ya msingi lol.....
Ni mawazo yangu tu, ni maneno sio sheria...kama vipi pita kimya!

Umepotea njia, nenda jukwaa la uchumi ndio linakufaa au nenda ukapayuke jukwaa la sasa, hapa tupishe.
 
Ally Kiba akihojiwa na Amplifire ya Mirlad Ayo ameulizwa maoni yake ni wasanii gani walimvutia kwenye show ya Fiesta amewataja wanamuziki kadhaa pamoja na Diamond.

My take: hapa ndio tofauti ya mtu mwenye akili na huyu mswahili wa Tandale unapoona ni watu wawili tofauti kabisa. Kiba ameonesha gape kubwa ya uelewa kati yake na domo.

Anayetaka kusikia mwenyewe mahojiano ya Kiba na Ayo aingie kwenye web ya Ayo.

Cc: Dinazarde warumi matumbo NasDaz geniveros nifah michael western

hivi Wewe Kwa akili Zako unaamini hizo porojo.
 
Last edited by a moderator:
Nyie pigizaneni kelele wenzenu wanaramba chapaa....waacheni, kama wanabifu au hawana inatuhusu vipi?fanya yako,wewe subiri wakitoa nyimbo sikiliza , burudika ,full stop.mengine waachieni wenyewe!hamjui tu hivi mkiwajadili kila dakika mbili thread mpya ni kuwapa promo na kuwamarkert bila kijijua.imekuwa too much sasa hatuli hatunywi kibaaaa diamondiiiii khaaaa! Hebu geuzeni cd tujadili mengijne sasa ya msingi lol.....
Ni mawazo yangu tu, ni maneno sio sheria...kama vipi pita kimya!

Umeandika gazeti lote hili na watu wapite kimya kimya tu,tutakuwa hatujakufanyia uungwana.Unajua na wewe tayari umeshajadili.
 
Hawezi kuponda hotel ila anaweza kumsaidia Ally Kiba si ndio?
Matola, hivi kwani kusaidiwa ni kashfa?? Hoja ya Diamond ni kwamba yeye kwa sasa angalau anashukuru anafahamika zaidi nje ya mipaka ya Tanzania kuliko Ali Kiba... kama hilo nalo hutaki basi mtakuwa na matatizo kwavile tutake tusitake huo ndio ukweli wenyewe na ndio maana hata yule Mwanamuziki wa Nigeria ambae leo alikuwa anafanya mahojiano na Clouds amesema anataka kufanya nyimbo na Diamond! Sasa kama Diamond muziki wake unasikilizwa zaidi nje kuliko Ali Kiba na ikiwa Kiba atamtaka Diamond afanye nae kazi ili nae apate kusikika nje ya mipaka ya Tanzania, Diamond yupo tayari kusaidia... sasa tatizo hapo lipo wapi? Alichosema Diamond sio kumtoa Kiba hapa TZ ambako kila mtu anamfahamu Kiba alichosema yeye ni katika harakati za kutafuta exposure ya muziki nje ya mipaka! Hata huyo Mnigeria anaetaka kufanya kazi na Diamond ni kv anafahamu ndio njia rahisi kwake kupenya EA... sasa kama hilo ndilo lengo lake, basi ni kweli anasaidiwa na Diamond ili kuutangaza muzki wake EA!
 
alisifia ile ya mtwara , naf beach hotel ndo akapondea za mbeya
Ndio maana muda wote huu nimekuwa nikiomba source ya kuaminika iliyomnukuu Diamond akiponda hotel za Mbeya ili niridhike kwamba sio maneno ya kuokoteza mitaani... Yaani Diamond yule yule ambae amevuruga hadi Tunduma leo aponde Mbeya... nyie (kama nawe ni mmoja wapo) mnayeamini kwamba ameziponda hotel za Mbeya basi tupeni source!
 
Back
Top Bottom