Tofauti kubwa ya Ally Kiba na Diamond hii hapa

Tofauti kubwa ya Ally Kiba na Diamond hii hapa

Huyo NasDas miudenda inavyomtoka kweli naamini hali ni mbaya na upepo wa bahari umebadilika na sasa chombo kinakwenda halijojo.

Ally Kiba woyeeee.
E bhana eh! Let's be honest bhana.... hivi ni kweli unaamini from deep inside your heart kwamba Diamond ameisha? Kwa lipi? Yaani kwavile wasiompenda wamemzomea ndo basi tena... Swahibu ako Somji Juma alitangaza mwisho wa Diamond siku ya award za BET eti kisa amekosa award ndo basi tena mwisho wake umefika.... hata hivyo, jamaa akaendelea kudunda! Kuzomewa Fiesta tena mnaleta u-Sheikh Yahya kwamba ameisha....!!! Hivi mtu anaisha vipi wakati yupo kwenye kilele cha mafanikio?
 
Last edited by a moderator:
Kiba anajua muziki zaidi ya Diamond kwa upande wangu mimi ila bahati ndio anayo chibu haina Ubishi, ila hapa kuna watu wanamchukia Diamond kwa mafanikio yake na zile show off kama angekua msanii toka Ulaya anafanya show off wangemsifia sana.
Mwisho kabisa tu acheni story za Shigongo na kumchukia mtu bila sababu za Msingi, fanya yako acheni chuki.
Mkuu umenena... kimsingi kila mtu anakubali kwamba Kiba ni mzuri lakini kama ulivyosema, kuwa mzuri ni kitu kimoja na kuwa juu ni kitu kingine! Jambo moja ambalo hatutaki kukubali ni kwamba, Kiba ni mzuri kwenye muziki wa studio wakati Diamond ni bonge la entertainer... kasoro ninayoiona kwenye muziki wa kiba ni ile style yake ya kutoa sana radio version ambazo zinakuwa ngumu sana kukubalika kwa watu wasioifahamu lugha unless uwe na vocals za kutisha! Leo hii huwezi kuipiga Mwana-Dar es salaam kwenye club za nje ya EA coz' ni radio version wakati nyimbo kama Number One au hata ile nyingine ya mwisho kutoka (siijui jina lake) unaweza kupiga hata club wasikofahamu kiswahili coz' ni club version...dance-able.
 
Dah halafu mie mtu anayereason/conclude kwa kusema eti "chuki" namuona kama uwezo wake wa kufikiri ni mdogo japo kiuhalisia unaweza kuwa ni mkubwa!

Mkuu unaweza kuniambia kwanini haya makundi mawili yanaexist.....#TeamKiba & #TeamDiamond ?
Why should I know my princes? Mimi si mmoja wao na wala haitatokea kuwa mmoja wao... lakini hata kama hutaki, ukweli utabaki pale pale kwamba kinachowasukuma watu dhidi ya Diamond ni chuki tu... nothing else! Kila siku lazima watu watakuja na hoja tu ili mradi wapate (au mpate) kuhalalisha kwamba Diamond ni mbaya! Mara oh, Diamond malaya... msanii gani kasalimika kwenye uhuni? KIba mwenyewe ana watoto wawiili au watatu na wote mama zao kawabwaga... lakini watu hawasemi! Mara oh, Mbeya sijui nini na nini... nikawomba including wewe mtoe source iliyomnukuu Diamond akiiponda Mbeya, hakuna hata mmoja aliyetoa source! Mara oh, kasema atamsaidia KIba... lakini Kiba aliposema yeye ndie alim-release Diamond haikuwa nongwa!

Kutokana na visababu sababu visivyo na maana vinavyotolewa ndio maaana tunaamini kwamba kinachowasukuma watu ni chuki tu and nothing else! Otherwise, tell me... wewe kama wewe... nitajie sababu moja tu inayokufanya uwe against Diamond! kama upo against nae only because wewe ni TeamKiba, then well and good!
 
Wanataka wote mumshangilie Diamond!
Avemaria... kwani hizi thread humu jamvini zimeletwa na wafuasi wa Diamond au Ali Kiba? Au mlitaka wafuasi wa Ali Kiba walete thread za kumponda Diamond halafu wafuasi wa Diamond wakae kimya, au? By the way, ikiwa wafuasi wa Kiba wanaamini kwamba jamaa kamsimamisha Diamond, sasa shida ya nini kutuletea mi-thread kila wakati kuhusu Diamond badala ya kuleta thread kuhusu Kiba?
 
Celebrities wa USA maisha yao ni very private kwani wanajua jinsi media ilivyo na impact ktk ku make or break a star. So muda wote wanajitahidi ku avoid media ili waishi maisha yao privately.

Cha ajabu sasa hapa kwetu Bongo hao wanaojiita ma celebrities kutwa wao na media hata akinunua boxer ataipiga picha aitume kwenye media houses!!!!

Ila kuzomewa ni kitu cha kawaida sana. Whitney Houston alizonewa show zake za mwisho kabla hajafa. Drogba alizomewa alipokuja Stamford bridge kucheza EUFA Championship match against Chelsea. Hata David Beckham alishawahi kuzomewa alipokuja Old Trafford kucheza na Man U. Christiano Ronaldo ameshazomewa Real Madrid walipocheza Old Trafford na Man. Hiyo list yote hapo hakuna hata mmoja ambaye Diamond anamkaribia kimafanikio kwa karibu.

Sasa sijui tuseme na hao waliozomea wana wivu wa maendeleo ya hao watu wote niliowataja?!!!!

Ninacho kiona hapa ni kimoja tu. Diamond amezungukwa na watu ambao hawamsaidii zaidi sana wanamwangamiza kimuziki. Badala ya ku deal na source ya tatizo, wao wanakuja na majibu mepesi eti kuwa ni wivu sijui mara Clouds wamepanga watu wa kumzomea n.k

Kama kweli Clouds inahusika ktk hilo. Basi hakuna shaka itahusika ktk kuua muziki wake sababu kuu ni kuwa Clouds ina mchango mkubwa pia ktk kutangaza muziki wake.

USHAURI: Diamond afikirie kutafuta new management kwa sababu yeye ni wa kimataifa sasa kama anavyodai. Hii iliyopo sasa haitamsaidia sana.
 
Jiulize kwanini Prof J, Juma nature, A.Y, Khadija Kopa na wengine kama hao wanapendwa sana na ni role models wa wasanii wengine....

Ndio utajua kwann diamond sasa hivi ni kichefuchefu kwa washabiki wa muziki tz. Hatupendi dharau, majivuno yasiyokuwa na kichwa wala miguu na isitoshe msanii unatakiwa uwe kioo cha jamii..
 
Maana yangu ilikuwa ni kilidiscus hili jambo sincerely.....anyways naomba nikuache maana naona mwenzangu umebase kwenye mambo ya chuki tu . Na ndo maana hata hilo swali hapo umelijibu kitechnigue tu.

i
Why should I know my princes? Mimi si mmoja wao n wala haitatokea kuwa mmoja wao... lakini hata kama hutaki, ukweli utabaki pale pale kwamba kinachowasukuma watu dhidi ya Diamond ni chuki tu... nothing else! Kila siku lazima watu watakuja na hoja tu ili mradi wapate (au mpate) kuhalalisha kwamba Diamond ni mbaya! Mara oh, Diamond malaya... msanii gani kasalimika kwenye uhuni? KIba mwenyewe ana watoto wawiili au watatu na wote mama zao kawabwaga... lakini watu hawasemi! Mara oh, Mbeya sijui nini na nini... nikawomba including wewe mtoe source iliyomnukuu Diamond akiiponda Mbeya, hakuna hata mmoja aliyetoa source! Mara oh, kasema atamsaidia KIba... lakini Kiba aliposema yeye ndie alim-release Diamond haikuwa nongwa!

Kutokana na visababu sababu visivyo na maana vinavyotolewa ndio maaana tunaamini kwamba kinachowasukuma watu ni chuki tu and nothing else! Otherwise, tell me... wewe kama wewe... nitajie sababu moja tu inayokufanya uwe against Diamond! kama upo against nae only because wewe ni TeamKiba, then well and good!
 
Avemaria... kwani hizi thread humu jamvini zimeletwa na wafuasi wa Diamond au Ali Kiba? Au mlitaka wafuasi wa Ali Kiba walete thread za kumponda Diamond halafu wafuasi wa Diamond wakae kimya, au? By the way, ikiwa wafuasi wa Kiba wanaamini kwamba jamaa kamsimamisha Diamond, sasa shida ya nini kutuletea mi-thread kila wakati kuhusu Diamond badala ya kuleta thread kuhusu Kiba?

Mkuu sidhani kama hili ni swali, badala yake ungeenda tu straight as to what are you trying to imply!
 
Mkuu sidhani kama hili ni swali, badala yake ungeenda tu straight as to what are you trying to imply!
Wewe umesema mashabiki wa Diamond wanataka watu wote wamshangilie Diamond! Kama ndivyo, basi tungeona thread zinaanzishwa na mashabiki wa Diamond kwa ajili ya kumpamba mtu wao! Lakini tunachoona hapa ni kwamba thread karibu zote zimeanzishwa na mashabiki wa Ali Kiba na zote zikilenga kumponda Diamond badala ya kumsifia Ali Kiba! Sasa mashabiki wa Diamond wanapoamua kumtetea mtu wao, mnageuka tena na kusema mashabiki wa Diamond wanataka watu wote wamshangilie yeye (Diamond) wakati thread zimeanzishwa na nyie wenyewe! Hoja yako ingekubalika endapo tu sredi za mashabiki wa Kiba zingekuwa ni za kumsifia Kiba halafu wanakuja wengine na ku-criticize na kuleta habari za Diamond wao... hapo kweli ingeonekana mashabiki wa Diamond ni wakorofi!
 
Celebrities wa USA maisha yao ni very private kwani wanajua jinsi media ilivyo na impact ktk ku make or break a star. So muda wote wanajitahidi ku avoid media ili waishi maisha yao privately.

Cha ajabu sasa hapa kwetu Bongo hao wanaojiita ma celebrities kutwa wao na media hata akinunua boxer ataipiga picha aitume kwenye media houses!!!!

Ila kuzomewa ni kitu cha kawaida sana. Whitney Houston alizonewa show zake za mwisho kabla hajafa. Drogba alizomewa alipokuja Stamford bridge kucheza EUFA Championship match against Chelsea. Hata David Beckham alishawahi kuzomewa alipokuja Old Trafford kucheza na Man U. Christiano Ronaldo ameshazomewa Real Madrid walipocheza Old Trafford na Man. Hiyo list yote hapo hakuna hata mmoja ambaye Diamond anamkaribia kimafanikio kwa karibu.

Sasa sijui tuseme na hao waliozomea wana wivu wa maendeleo ya hao watu wote niliowataja?!!!!

Ninacho kiona hapa ni kimoja tu. Diamond amezungukwa na watu ambao hawamsaidii zaidi sana wanamwangamiza kimuziki. Badala ya ku deal na source ya tatizo, wao wanakuja na majibu mepesi eti kuwa ni wivu sijui mara Clouds wamepanga watu wa kumzomea n.k

Kama kweli Clouds inahusika ktk hilo. Basi hakuna shaka itahusika ktk kuua muziki wake sababu kuu ni kuwa Clouds ina mchango mkubwa pia ktk kutangaza muziki wake.

USHAURI: Diamond afikirie kutafuta new management kwa sababu yeye ni wa kimataifa sasa kama anavyodai. Hii iliyopo sasa haitamsaidia sana.

Baelezee kina NasDaz na matumbo na vitegemezi vingine vya Domo wakuelewe.

Habari inanoga zaidi kwa picha, na hawa wanamuonea wivu Obama? Bangi mbaya sana.
 
Attachments

  • 1413847108877.jpg
    1413847108877.jpg
    42.5 KB · Views: 215
  • 1413847149000.jpg
    1413847149000.jpg
    54.4 KB · Views: 204
Baelezee kina NasDaz na matumbo na vitegemezi vingine vya Domo wakuelewe.

Habari inanoga zaidi kwa picha, na hawa wanamuonea wivu Obama? Bangi mbaya sana.
Unajua hoja ya wivu inakuja pale mnaposhindwa kutoa sababu za kwanini mpo against hiki au kile... mbaya zaidi, issue hapa sio kuzomewa issue ni vile watu wanavyoonekana kufurahia au kutamani wamuone Diamond anakwisha... sasa kama sio chuki ni nini? Hao aliowasema Mrigariga ni kwamba walizomea lakini si kwamba walikuwa wanataani wamuone Witney anapotea... tofautisha! Swahiba mkuu wa Ali Kiba humu jamvini, Somji Juma aliwahi kusema, nanukuu "tena afadhali Diamond alipokosa hizo tuzo manake tusingelala...!" Somji njoo huku ukanushe! Sasa kauli kama hizi zinaonesha wazi kwamba watu wanatawaliwa na chuki na si kingine! Mtu anayemuombea mwenzake mabaya hakuna lingine linalomsumbua zaidi ya khusuda!
 
Last edited by a moderator:
Wewe umesema mashabiki wa Diamond wanataka watu wote wamshangilie Diamond! Kama ndivyo, basi tungeona thread zinaanzishwa na mashabiki wa Diamond kwa ajili ya kumpamba mtu wao! Lakini tunachoona hapa ni kwamba thread karibu zote zimeanzishwa na mashabiki wa Ali Kiba na zote zikilenga kumponda Diamond badala ya kumsifia Ali Kiba! Sasa mashabiki wa Diamond wanapoamua kumtetea mtu wao, mnageuka tena na kusema mashabiki wa Diamond wanataka watu wote wamshangilie yeye (Diamond) wakati thread zimeanzishwa na nyie wenyewe! Hoja yako ingekubalika endapo tu sredi za mashabiki wa Kiba zingekuwa ni za kumsifia Kiba halafu wanakuja wengine na ku-criticize na kuleta habari za Diamond wao... hapo kweli ingeonekana mashabikNai wa Diamond ni wakorofi!

Na hii thread tunayochangia ina maudhui gani?
 
Na hii thread tunayochangia ina maudhui gani?
Upande mmoja kumsifia Ali Kiba na upande mwingine ni kumponda Diamond... nayo inatoka kwa mpendwa wa Ali Kiba! Kama nilivyosema awali... kwenu nyinyi Ali Kiba akisema yeye ndie kam-release Diamond ni sawa lakini Diamond akisema yupo tayari kumsadiai Ali Kiba, inageuka nongwa... aaaaaaaargh! Kiba wakati akihojiwa na Sporah alisema "mimi nipo tayari kum-support mwanamuziki yeyote yule...!" Hebu ondoa hiyo kum-support kisha weka neno la kiswahili!
 
maandiko yanasema muombee adui yako aishi siku nyingi ili unapobarikiwa ajionee kwa macho
 
Unafiki mbaya sana, hapa kuna watu wanamponda domo lakini kwenye flashi na memory card kajaza nyimbo za diamond kibao........hata ukimuuliza sababu ya msingi ya kumchukia diamond hana .........
 
Back
Top Bottom