E bhana eh! Let's be honest bhana.... hivi ni kweli unaamini from deep inside your heart kwamba Diamond ameisha? Kwa lipi? Yaani kwavile wasiompenda wamemzomea ndo basi tena... Swahibu ako Somji Juma alitangaza mwisho wa Diamond siku ya award za BET eti kisa amekosa award ndo basi tena mwisho wake umefika.... hata hivyo, jamaa akaendelea kudunda! Kuzomewa Fiesta tena mnaleta u-Sheikh Yahya kwamba ameisha....!!! Hivi mtu anaisha vipi wakati yupo kwenye kilele cha mafanikio?Huyo NasDas miudenda inavyomtoka kweli naamini hali ni mbaya na upepo wa bahari umebadilika na sasa chombo kinakwenda halijojo.
Ally Kiba woyeeee.
Last edited by a moderator: