Ponjoro wa Kinondoni
JF-Expert Member
- Jan 5, 2024
- 3,771
- 10,311
Licha ya kuitwa mbabe, dikteta na majina mengine mabaya, Magufuli alikuwa na mvuto wa pekee kwa wananchi kiasi kwamba hata hotuba zake zilivuta usikivu mkubwa sana kila kona ya dunia. Raia walimpenda kwa uamuzi wake wa papo kwa hapo na jinsi alivyonyoosha nidhamu katika ofisi ya Umma.
Kwa upande mwingine Samia ni kama hana mvuto kwa jamii licha ya kuja na mfumo wa chawa na wapambe ila hauziki na hakubaliki kwa watu na anaonekana kama mtu asiye na maamuzi.
Kwa upande mwingine Samia ni kama hana mvuto kwa jamii licha ya kuja na mfumo wa chawa na wapambe ila hauziki na hakubaliki kwa watu na anaonekana kama mtu asiye na maamuzi.