Ponjoro wa Kinondoni
JF-Expert Member
- Jan 5, 2024
- 3,771
- 10,311
Tanzania mwaka 2015 tulikosea hao kurwa na dotto hakuna wamefanyaLicha ya kuitwa mbabe, dikteta na majina mengine mabaya, Magufuli alikuwa na mvuto wa pekee kwa wananchi kiasi kwamba hata hotuba zake zilivuta usikivu mkubwa sana kila kona ya dunia. Raia walimpenda kwa uamuzi wake wa papo kwa hapo na jinsi alivyonyoosha nidhamu katika ofisi ya Umma.
Kwa upande mwingine Samia ni kama hana mvuto kwa jamii licha ya kuja na mfumo wa chawa na wapambe ila hauziki na hakubaliki kwa watu na anaonekana kama mtu asiye na maamuzi.
Magufuli ana nafuu kubwa sana baada ya Nyerere.Tanzania mwaka 2015 tulikosea hao kurwa na dotto hakuna wamefanya
We doctor manyau nyau ..... magufuli hafanani tabia samia hata kidogoTanzania mwaka 2015 tulikosea hao kurwa na dotto hakuna wamefanya
Magufuli was a great man.We doctor manyau nyau ..... magufuli hafanani tabia samia hata kidogo
na hatoboi.Sa100 miyeyusho sana!
KabisaMagufuli was a great man.
Kwa kweli apumzike tu. Wakilazimisha ndio anguko la jahazi zima huko mbelenina hatoboi.
hata wao wamemchoka.Kwa kweli apumzike tu. Wakilazimisha ndio anguko la jahazi zima huko mbeleni
Sina imani kwenye hili andiko. LAKINI SSH kanavurugwa na msoga!Licha ya kuitwa mbabe, dikteta na majina mengine mabaya, Magufuli alikuwa na mvuto wa pekee kwa wananchi kiasi kwamba hata hotuba zake zilivuta usikivu mkubwa sana kila kona ya dunia. Raia walimpenda kwa uamuzi wake wa papo kwa hapo na jinsi alivyonyoosha nidhamu katika ofisi ya Umma.
Kwa upande mwingine Samia ni kama hana mvuto kwa jamii licha ya kuja na mfumo wa chawa na wapambe ila hauziki na hakubaliki kwa watu na anaonekana kama mtu asiye na maamuzi.
Yeye hana akili?Sina imani kwenye hili andiko. LAKINI SSH kanavurugwa na msoga!
JPM alikua anadhibiti wapinzani wa nje ya CCM ila akirudi CCM anasimamia taratibu zao. Sasa hivi sina uhakika, maana hata kutoka tu wajadiliwe ilikua ngumuπππππππLicha ya kuitwa mbabe, dikteta na majina mengine mabaya, Magufuli alikuwa na mvuto wa pekee kwa wananchi kiasi kwamba hata hotuba zake zilivuta usikivu mkubwa sana kila kona ya dunia. Raia walimpenda kwa uamuzi wake wa papo kwa hapo na jinsi alivyonyoosha nidhamu katika ofisi ya Umma.
Kwa upande mwingine Samia ni kama hana mvuto kwa jamii licha ya kuja na mfumo wa chawa na wapambe ila hauziki na hakubaliki kwa watu na anaonekana kama mtu asiye na maamuzi.
Unamfahamu mkapa?Magufuli ana nafuu kubwa sana baada ya Nyerere.