Tofauti na mfanano wa kikazi na kimamlaka kati ya CIA na FBI

Nachangayikiwa pale wanapotumwa FBI kwenye nchi kupeleleza kitu fulani mfano walipo zichukua zile mask ambazo zilikuwa zinatumwa huku Afrika kwajili ya msaada walisema wamegundua zilikuwa zina virusi vya covid! Kwann wasingewatuma CIA wafanye hiyo kazi?
 
Mkuu Tofauti ni kwamba FBI ni investigators (Mpelelezi)
 
Hapa ni mekuelewa, Lakini nataka nikuulize kwani CIA hawezi fanya kazi ndani na nje ya nchi maana hata movie tukiangalia kuna baadhi wanafanya kazi hata wakiwa ndani ya nchi yao?
 
Hizo ulizozitaja hapo ni vikosi maalumu ndani ya Idara Tofauti.
Mf Tanzania
Kuna jeshi la polisi lakini ndani ya polisi Kuna vikosi maalumu Kama FFU etc.
Magereza wana KM etc

Secret service ni kikosi maalumu kilicho Chini ya Idara zao.
ongeza SECRET SERVICE, DEA, CTU nk
 
Hizo ulizozitaja hapo ni vikosi maalumu ndani ya Idara Tofauti.
Mf Tanzania
Kuna jeshi la polisi lakini ndani ya polisi Kuna vikosi maalumu Kama FFU etc.
Magereza wana KM etc

Secret service ni kikosi maalumu kilicho Chini ya Idara zao.
Ufafanuzi kidogo mkuu
 
Feds are watching - Lil Kim
The Ds ran in my crib i know wh droped a dime - 50 Cent
Somebody call the Popo - Craize Bonne
Five-0 - White boys jump out running wit they guns (5-0, 5-0) - Jeezy
 
Secret Service ni kwa ajili ya ulinzi wa viongozi.
 
Hizo ulizozitaja hapo ni vikosi maalumu ndani ya Idara Tofauti.
Mf Tanzania
Kuna jeshi la polisi lakini ndani ya polisi Kuna vikosi maalumu Kama FFU etc.
Magereza wana KM etc

Secret service ni kikosi maalumu kilicho Chini ya Idara zao.
Secret service iko wizara ya fedha
 
Hapa ni mekuelewa, Lakini nataka nikuulize kwani CIA hawezi fanya kazi ndani na nje ya nchi maana hata movie tukiangalia kuna baadhi wanafanya kazi hata wakiwa ndani ya nchi yao?
Uelewe tu Ni marufuku CIA kuoperate ndani ya US,,na akikamatwa anawekwa lokapu
 
Ufafanuzi kidogo kwa NSA
NSA wanahusika na usalama wa taifa la marekani,,lakini wanamaintain physical presence globoly.
Togauti yake na CIA Ni kuwa NSA hawatumii human resource Ama HUMINT Kama source ya kukusanya intelligence ,wao wanatumia SIGINT(signal intelligence),ELINT(Electronics Intelligence),na ndo wazee wa Cyber warfare,wao ndo walihusika kwa mfano kuunda stuxnet,kile kirusi kilichoharibu vinu vya nyuklia kule Iran,wanahusika na kutega visikilizio vya mawasiliano ya watu mbalimbali duniani,
Wako chini ya defence department
 
Tu Tumekupata mkuu
 
Hapa ni mekuelewa, Lakini nataka nikuulize kwani CIA hawezi fanya kazi ndani na nje ya nchi maana hata movie tukiangalia kuna baadhi wanafanya kazi hata wakiwa ndani ya nchi yao?
Wanafanya ulinzi wa nchi ni ndani na hata nje ya mipaka.
Anapofanya nje ni spy kwa ajili ya nchi yake
 
Hapa ni mekuelewa, Lakini nataka nikuulize kwani CIA hawezi fanya kazi ndani na nje ya nchi maana hata movie tukiangalia kuna baadhi wanafanya kazi hata wakiwa ndani ya nchi yao?
CIA anahusika na threats za usalama wa taifa zinazo originate kutoka nje ya mipaka wakati FBI wanadeal na threats za ndani. Inapotokea kwamba tatizo limeanzia nje ila likaja kuathiri ndani CIA atashughulika nalo likiwa nje ya mipaka linapoingia Washngton wanakabidhi mikoba kwa FBI.

Ila pia kama tatizo lina originate ndani FBI wanadeal nalo ila likivuka mipaka kwenda kuathiri maslahi ya taifa nje FBI wanatoa pasi kwa CIA.

Sept 11 inatajwa kama mfano wa nini kinaweza kulikuta taifa kiusalama endapo CIA hawatagawa pasi kwa FBI
 
Naona Uzi umekosa wachangiaje full manyotanyota
CIA huhusika kwa issue za usalama wa marekani na wamarekani nje ya mipaka ya USA, FBI ni ndani ya nchi pekee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…