Tofauti na mfanano wa kikazi na kimamlaka kati ya CIA na FBI

Tofauti na mfanano wa kikazi na kimamlaka kati ya CIA na FBI

Naomba kujuzwa tofauti ya hizo taasisi mbili nani anafanya nini
 
CIAFBI
CIAFBI
Stands forCentral Intelligence AgencyFederal Bureau of Investigation
IntroductionThe Central Intelligence Agency (CIA) is a civilian foreign intelligence service of the United States federal government, tasked with gathering, processing, and analyzing national security information from around the world.The Federal Bureau of Investigation (FBI) is a governmental agency belonging to the United States Department of Justice that serves as both a federal criminal investigative body and an internal intelligence agency (counterintelligence)

Shughuli imeisha!!
 
Nchi Na Yote Viijazavyo Dunia Ni Mali Ya Bwana
Mungu Ni Mwema Wakati Wote
Uwe na mipaka na Imani yako.....ulichoandika hakina mahusiano na mada.
Badala ya kumjibu mdau unatuletea habari on how you are possessed with religion.... am sorry mkuu
 
Msukuma kiaje mkuu sijakuelewa msukuma Kabila??? au yule Muheshimiwa Musukuma???
Kwanini nchi yetu haiundi vyombo vya kitaalamu kama hivi?

Unakuta mtu kama msukuma eti ndio usalama wa Taifa!??

Nchi inajengwa na wananchi. Tuijenge nchi kwa uzalendo.

Send Us!ng K!toch! [emoji19]
 
Wadau mliochangia huu uzi mmefunguka vizuri sana.

Inaonekana wengi wenu ni wafuatiliaji wazuri wa masuala mbalimbali.

Safi 👏 👏👏 👏
 
Wajuzi wa mambo naomba kujua utofauti wa majukumu kati ya idara hizo za kiusalama nchini marekani
 
FBI ni asikari wa usalama wa taifa la Taifa la Marekani na CIA ni asikari wa wanaofanya kazi ndani na nje ya nchi ya Marekani mm hivi ndio navyo jua kuhusiana na hivi vitengo.
 
Wajuzi wa mambo naomba kujua utofauti wa majukumu kati ya idara hizo za kiusalama nchini marekani
FBI ni asikari wa usalama wa taifa la Taifa la Marekani na CIA ni asikari wa wanaofanya kazi ndani na nje ya nchi ya Marekani mm hivi ndio navyo jua kuhusiana na hivi vitengo.
FBI (Federal Bureau Investigation) ni Idara ya usalama ndani ya Taifa la Marekani. Hii ufanya kazi zake za ujasusi na upelelezi wa matukio yoyote Yale ndani ya Taifa.

CIA (Central Intelligence Agency) ni Idara ya usalama nje ya Taifa la Marekani. Wao huwa wanaratibu machafuko na figisu zozote kwa ajli ya interest za nje za Taifa Lao.

NSA (National security Agency) hii Sasa ndiyo TISS ya kwao. Ni Idara ya usalama wa Taifa la Marekani iwe nje au ndani
 
CIA
FBI ni asikari wa usalama wa taifa la Taifa la Marekani na CIA ni asikari wa wanaofanya kazi ndani na nje ya nchi ya Marekani mm hivi ndio navyo jua kuhusiana na hivi vitengo.
CIA kirefu chake ni Central Intelligence Agency, FBI ni Federal Bureau of investigation.
Ipo tofauti ya investigator { mpelelezi) na Itelligence office.
Kazi hizo kwa haraka haraka unaweza kuziona kama zinafanana. Lakini majukumu yanatofautiana. Kazi za upelelezi mara nyingi unapeleleza tukio, mtuwa intellejensiaanatakiwa kuzuia kabla tukio halijafanyika. Ndo maana mpelelexi na mwanaintelejensia kazi zao zinatofautiana.

Mpelelezi anajitambulisha kwako anapo peleleza afisa wa intelejensia anafanya kazi zake hata bila wewe kujua kuwa kuna ishu anafuatilia hapa mnawaita (mashushushu).
 
Kuna na Homeland Security..... Aliiunda W. Bush
 
FBI-criminal investigation.
CIA-foreign intelligence.
NSA-National Security Agency(SIGINT,ELINT ,cyber intelligence)
 
Back
Top Bottom