Yeah, sijadeny kuwa NSA ni chombo cha kijasusi!
Rudi ukajifunze Zaidi kuhusu CIA vs NSA. Ndio maana kukawepo na rivalry kati ya KGB ya Soviets versus CIA na sio KGB vs NSA. Vyombo vya kijasusi vilivyo kamilika hufanya kazi nyingine ya kijasusi ambayo ni kurun propaganda kwa ajili ya usalama na maslahi ya dola husika and that is why kama sijasahau budget ya KGB iliyokuwa allocated kwa ajili ya propaganda ilikuwa ni 85% au 15% nasahau sahau. Wiretapping, Bugging, eavesdropping wanayofanya NSA sio ni suala dogo ambalo halifanyi useme kuwa NSA ndio wenye role kubwa kuzidi CIA