Tofauti na mfanano wa kikazi na kimamlaka kati ya CIA na FBI

Tofauti na mfanano wa kikazi na kimamlaka kati ya CIA na FBI

Sheria ipi?weka hapa!
What the CIA Doesn’t Do?

Federal law prohibits the CIA from collecting information on “U.S. Persons,” which includes U.S. citizens, resident aliens, legal immigrants, and U.S. corporations. The CIA collects intelligence information only on foreign countries and their citizens. And, unlike the FBI, the CIA does not have arrest powers. But the two agencies cooperate on many issues, such as counterintelligence and threats to national security.

SOURCE

https://www.lawyers.com/legal-info/...-protectors-roles-of-the-cia-and-the-fbi.html
 
CIA ni mashushushu wa dunia,kazi zao ni za siri sana,hupanga mauaji ya kisiasa, covert operations, hukusanya taarifa za kiintelijensia za kiuchumi, kivita, kisiasa, wao uangaria maslahi ya marekani nje ya nchi,ni external intelligence agency, ni wasiojuriakana wa Marekani,

FBI ni federal law enforcement agency, kama LAPD wanafanya kazi ndani ya mipaka ya LA, ikitokea tatizo Chicago, LAPD hawawezi kwenda, hawawezi kuvuka mipaka ya State yao, FBI wao wana weza kufanya kazi ndani ya state yoyote,

Ndani ya FBI kuna kitengo pia cha kuangalia internal intelligence, kama kuwakamata ma spy wa nje, au watu wanao Fanya ujasusi ndani ya USA.

Zipo pia agency zingine zenye kazi maalum,kama DEA drugs enforcement agency,border patrol,ATF,secret service,
 
Habari chiefs,

Hope mko poa na mishemishe zinaenda. Niende kwenye topic moja Kwa moja, ningependa kufahamu nini tofauti iliyopo Kati ya hizo taasisi mbili za kiintelejensia zinazo operate ndani ya nchi moja. Utendaji, mamlaka na je zinawajibika kwenye idara au wizara tofauti?
No hayo tu karibuni wajuvi wa mambo..
Akili za K VANT HIZI
 
CIA ni mashushushu wa dunia,kazi zao ni za siri sana,hupanga mauaji ya kisiasa,covert operations,hukusanya taarifa za kiintelijensia za kiuchumi,kivita,kisiasa,wao uangaria maslahi ya marekani nje ya nchi,ni external intelligence agency,ni wasiojuriakana wa marekani,
FBI ni federal law enforcement agency,kama LAPD wanafanya kazi ndani ya mipaka ya LA,ikitokea tatizo Chicago,LAPD hawawezi kwenda,hawawezi kuvuka mipaka ya State yao,FBI wao wana weza kufanya kazi ndani ya state yoyote,
Ndani ya FBI kuna kitengo pia cha kuangalia internal intelligence,kama kuwakamata ma spy wa nje,au watu wanao Fanya ujasusi ndani ya USA.
Zipo pia agency zingine zenye kazi maalum,kama DEA drugs enforcement agency,border patrol,ATF,secret service,
Asante mkuu
 
Kila siku hizi thread zinaletwa hapa kwann msizitafute makajisomea mnajaza tu serve hapa
Ndio maana ikaitwa forum, maana watu wanataka kuelewa au kueleweshwa , unachokiona uko vizuri kielezee tu huto pungukiwa na kitu, by the way kusoma na kuelewa ni vitu viwili tofauti,
Sijui kwa nn nachukia huu msemo wa' mnahaza server'
 
Zilisha jadiliwa hapa jf kwa undani zaidi, kuhusiana na FIB, CIA ni uvivu wa watu/mtu kuzitafuta hapa jf na kujisomea...
 
Zilisha jadiliwa hapa jf kwa undani zaidi, kuhusiana na FIB, CIA ni uvivu wa watu/mtu kuzitafuta hapa jf na kujisomea...
Najua unachomaanisha , lakini watu tunatofautiana sana kuelewa , mfano mimi bado sijashiba na stories za kifo cha jf kennedy, nimesoma articles na vitabu kadhaa juu ya kifo chake na bado hata leo mtu akileta uzi wa kennedy nitapita kuchungulia

Maana halisi ya forum ni kujadili jambo na watu waliolielewa vizuri jambo hilo

Uwe na asubuhi njema mkuu
 
FBI ni polisi aliyespecialize kwenye upelelezi , CIA ni usalama wa taifa
NSA (National Security Agency) ni Usalama wa Taifa wa Marekani iko chini ya Wizara ya Ulinzi

CIA (Central Intelligence Agency) kazi yake ni kukusanya habari za kipelelezi nje ya Marekani,kuzitasmini halafu kumpelekea Raisi wa Marekani ili NSA(Usalama wa Taifa) wafanye uamuzi kuhusu nini wafanye kuhusu habari hizo,Kwa mantiki hiyo CIA ni majasusi wanaofanya kazi nje ya Marekani tu

(FBI) (The Federal Bureau of Investigation) inafanya kazi ndani ya Marekani kulinda sheria za nchi,kwaufupi FBI ni polisi wapelelezi kama hapa kwetu wale tunaowaita CID,Tafauti FBI na wapelelezi wengine wa Polisi ya Marekani ni kuwa FBI wanaweza kufanya kazi zao Majimbo yote ya Marekani
 
Zilisha jadiliwa hapa jf kwa undani zaidi, kuhusiana na FIB, CIA ni uvivu wa watu/mtu kuzitafuta hapa jf na kujisomea...
We kwani hizi servers za shangazi ako au babaako kusema utakosa urithi? zimejadiliwa tumesoma si vyote vimeandikwa mle bado tumeendelea kupata mambo mapya
 
NSA (National Security Agency) ni Usalama wa Taifa wa Marekani iko chini ya Wizara ya Ulinzi

CIA (Central Intelligence Agency) kazi yake ni kukusanya habari za kipelelezi nje ya Marekani,kuzitasmini halafu kumpelekea Raisi wa Marekani ili NSA(Usalama wa Taifa) wafanye uamuzi kuhusu nini wafanye kuhusu habari hizo,Kwa mantiki hiyo CIA ni majasusi wanaofanya kazi nje ya Marekani tu

(FBI) (The Federal Bureau of Investigation) inafanya kazi ndani ya Marekani kulinda sheria za nchi,kwaufupi FBI ni polisi wapelelezi kama hapa kwetu wale tunaowaita CID,Tafauti FBI na wapelelezi wengine wa Polisi ya Marekani ni kuwa FBI wanaweza kufanya kazi zao Majimbo yote ya Marekani

Kiufupi organization/vyombo ambavyo ni usalama wa taifa wa nchi ya Marekani vipo kama vitatu hivi 1. CIA 2.NSA 3. Secret service

Ila ambao wanafanya kazi kubwa za ''kiusalama wa taifa'' ni CIA. CIA ndio ulinzi wa rais unategemea mafile yao, CIA ndio wanaoendesha Propaganda ambayo ni moja ya kazi kubwa za vyombo vya kijasusi
 
Hujui NSA wewe, NSA ndo inafanya kazi kubwa na ndo yenye bajeti kubwa, wale wanasikiliza hadi simu za marais wa nchi nyingine.
 
Hujui NSA wewe, NSA ndo inafanya kazi kubwa na ndo yenye bajeti kubwa, wale wanasikiliza hadi simu za marais wa nchi nyingine.

Yeah, sijadeny kuwa NSA ni chombo cha kijasusi!

Rudi ukajifunze Zaidi kuhusu CIA vs NSA. Ndio maana kukawepo na rivalry kati ya KGB ya Soviets versus CIA na sio KGB vs NSA. Vyombo vya kijasusi vilivyo kamilika hufanya kazi nyingine ya kijasusi ambayo ni kurun propaganda kwa ajili ya usalama na maslahi ya dola husika and that is why kama sijasahau budget ya KGB iliyokuwa allocated kwa ajili ya propaganda ilikuwa ni 85% au 15% nasahau sahau. Wiretapping, Bugging, eavesdropping wanayofanya NSA sio ni suala dogo ambalo halifanyi useme kuwa NSA ndio wenye role kubwa kuzidi CIA
 
Naona .mnataka kutuchunguza wenye vitengo vyetu endeleeni tu[emoji41][emoji41][emoji41]
 
Lipi lina athiri usalama wa marekani nje ya nchi - CIA
Lipi lina athiri usalama wa marekani ndani ya nchi- FBI
 
FBI sio polisi ni kitengo kingine kinachojitegemea. Japokuwa mtu akiwa nq background ya kuwa polisi inakuwa rahis kuvhukuliwa.
ni polisi wa ngazi ya jitaifa kwa sababu wanaweza kukamata pia.
Screenshot_2018-09-29-08-40-15.jpg
 
Back
Top Bottom