Tofauti na mfanano wa kikazi na kimamlaka kati ya CIA na FBI

Tofauti na mfanano wa kikazi na kimamlaka kati ya CIA na FBI

FBI kwa hapa kwetu ndio CID ( Criminal Investigation Department) au kwa Lugha ya Kizalendo tunawaita Makachero

Sie tuna Makachero na Majasusi

Bernard na Yoweri walikuwa majasusi wetu Kampala nyakati fulani
 
1. FBI stands for Federal Bureau of Investigation & CIA stands Central Investigation Agency
2. FBI deal with domestic issue & CIA have direct jurisdiction over us
3. FBI extends support/to CIA as and when required &CIA don't have jurisdiction over crime occuring in us
4. FBI has wider range of responsibilities &CIA has limited range of responsibilities
5. FBI agency don't interact with agency of other countries & CIA may interact with agency of other countries

Kwakuwa tunajifunza nipo tayari kukosolewa na kama kuna mtu ana lolote ongezea
CIA ni central intelligency argency

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa nnavyojua mimi CIA ni sawa na usalama wa taifa hapa nchini na hawana sare maalumu FBI ni kama Field force unit na SWAT ni makomando
 
Kwa nnavyojua mimi CIA ni sawa na usalama wa taifa hapa nchini na hawana sare maalumu FBI ni kama Field force unit na SWAT ni makomando
SWAT sio makomando. SWAT wapo chini ya jeshi la polisi (Police Departments za miji [PD]) kama Field Force Unit ilivyo hapa nchini.

CIA ni moja tu ya agencies kadhaa za kijasusi marekani. Na kama mdau alivyosema hapo juu, kisheria hawatakiwi ku-operate ndani ya nchi yao. Intelligence za ndani zinasimamiwa na agencies zingine kutokana kazi walizoundiwa.

Tofauti na wao, kwetu ujasusi wote wa kiusalama wa taifa upo chini ya Idara ya Usalama wa Taifa (TISS) ambayo mgawanyiko wake wa kazi upo ndani humo humo; lakini wao (Marekani) kutokana na majukumu mengi huwa wamezigawa gawa ili zisimame zenyewe na ziwe specialised.

Sent using LF Electromagnetic Waves
 
Back
Top Bottom