Tofauti na nguruwe wanyama gani wingine wamekatazwa kuliwa katika Quran?

Yoda

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2018
Posts
64,960
Reaction score
111,265
Wayahudi wao katika agano la kale waliwekewa vigezo vya wanyama wasiotakiwa kula vikiwemo wanyama walio na kwato zisizopasuliwa na wasiocheua, ndio maana hawali hata ngamia, sungura n.k kuna vigezo waliwekewa pia kuhusu ndege na samaki wasiotakiwa kuliwa.

Nilitegemea kuwe na mfanano na Waislamu katika hili jambo kutokana na agano la kale kuwa linachukuliwa kama torati waliyopewa WaIsrael lakini ngamia ni chakula cha hadhi sana kwa Waislamu!
Huu ni kama mkanganyiko.
 
Mbali na nguruwe,

Ngamia,kambale,sungura.

Hawa kwa mujibu wa Biblia hawaliwi. Inashangaza Kuna dini inapiga marufuku kuhusu nguruwe peke yake ila hao waliobaki wanakula bila shida.
 
Wayahudi wao katika agano la kale waliwekewa vigezo vya wanyama wasiotakiwa kula vikiwemo wanyama walio na kwato zisizopasuliwa na wasiocheua, ndio maana hawali hata ngamia, sungura n.k kuna vigezo waliwekewa pia kuhusu ndege na samaki wasiotakiwa kuliwa.

Nilitegemea kuwe na mfanano na Waislamu katika hili jambo kutokana na agano la kale kuwa linachukuliwa kama torati waliyopewa WaIsrael lakini ngamia ni chakula cha hadhi sana kwa Waislamu!
Huu ni kama mkanganyiko.
Mbona nguruwe analiwa na kuchinjwa ndani ya uislamu
 
Wayahudi wao katika agano la kale waliwekewa vigezo vya wanyama wasiotakiwa kula vikiwemo wanyama walio na kwato zisizopasuliwa na wasiocheua, ndio maana hawali hata ngamia, sungura n.k kuna vigezo waliwekewa pia kuhusu ndege na samaki wasiotakiwa kuliwa.

Nilitegemea kuwe na mfanano na Waislamu katika hili jambo kutokana na agano la kale kuwa linachukuliwa kama torati waliyopewa WaIsrael lakini ngamia ni chakula cha hadhi sana kwa Waislamu!
Huu ni kama mkanganyiko.
Nyama nyingine 0713 ila akina Mufti ndio wanaipenda kufa.
 
Nina rafiki yangu msabato kitimoto na samaki wasio na magamba hali lakini totoz anakula😂😂😂. Ila hizi dini!!!!
 
Wayahudi wao katika agano la kale waliwekewa vigezo vya wanyama wasiotakiwa kula vikiwemo wanyama walio na kwato zisizopasuliwa na wasiocheua, ndio maana hawali hata ngamia, sungura n.k kuna vigezo waliwekewa pia kuhusu ndege na samaki wasiotakiwa kuliwa.

Nilitegemea kuwe na mfanano na Waislamu katika hili jambo kutokana na agano la kale kuwa linachukuliwa kama torati waliyopewa WaIsrael lakini ngamia ni chakula cha hadhi sana kwa Waislamu!
Huu ni kama mkanganyiko.

Hiyo ndio tofauti ya Myahudi na muarabu.

Torati inaeleza wanyama wakula kaa kutaja sifa bainifu kisha inatoa mifano kukazia na kujazia nyama.

Mfano, mnyama asiye na kwato zilizopasuka na asiyecheua huyo haliwi.
Kwa hiyo unatembeamo hapo.

Lakini kusema huli Nguruwe alafu Musa huohuo unakula ngamia au sungura unakuwa kama MTU asiyetambua anaamini katika nini
 
unatakiwa ule ukiwa na njaa kali na hakuna msosi mwengine zaidi ya noah, So watu wana-take advantage hiyo kumfaidi mdudu hahahah
maelezo yako yanavunjaje klle niliichokisema?.
Nb; Biblia pekee ndiyo imeharamisha hata kugusa mzoga wa Nguruwe kitu ambacho huwezi kukipqta kwenye vitabu vya kutunga.
 
Back
Top Bottom