Mbona nguruwe analiwa na kuchinjwa ndani ya uislamuWayahudi wao katika agano la kale waliwekewa vigezo vya wanyama wasiotakiwa kula vikiwemo wanyama walio na kwato zisizopasuliwa na wasiocheua, ndio maana hawali hata ngamia, sungura n.k kuna vigezo waliwekewa pia kuhusu ndege na samaki wasiotakiwa kuliwa.
Nilitegemea kuwe na mfanano na Waislamu katika hili jambo kutokana na agano la kale kuwa linachukuliwa kama torati waliyopewa WaIsrael lakini ngamia ni chakula cha hadhi sana kwa Waislamu!
Huu ni kama mkanganyiko.
Nyama nyingine 0713 ila akina Mufti ndio wanaipenda kufa.Wayahudi wao katika agano la kale waliwekewa vigezo vya wanyama wasiotakiwa kula vikiwemo wanyama walio na kwato zisizopasuliwa na wasiocheua, ndio maana hawali hata ngamia, sungura n.k kuna vigezo waliwekewa pia kuhusu ndege na samaki wasiotakiwa kuliwa.
Nilitegemea kuwe na mfanano na Waislamu katika hili jambo kutokana na agano la kale kuwa linachukuliwa kama torati waliyopewa WaIsrael lakini ngamia ni chakula cha hadhi sana kwa Waislamu!
Huu ni kama mkanganyiko.
Maisha bila unafiki hayaendi.Nina rafiki yangu msabato kitimoto na samaki wasio na magamba hali lakini totoz anakula๐๐๐. Ila hizi dini!!!!
Katika Uislam,Nguruwe hajikatazwa kuliwa,kilichozuiwa ni kula nyama nyingi ya Nguruwe.
Kwa hiyo Mungu wenu ni kigeugeu?unatakiwa ule ukiwa na njaa kali na hakuna msosi mwengine zaidi ya noah, So watu wana-take advantage hiyo kumfaidi mdudu hahahah
Wayahudi wao katika agano la kale waliwekewa vigezo vya wanyama wasiotakiwa kula vikiwemo wanyama walio na kwato zisizopasuliwa na wasiocheua, ndio maana hawali hata ngamia, sungura n.k kuna vigezo waliwekewa pia kuhusu ndege na samaki wasiotakiwa kuliwa.
Nilitegemea kuwe na mfanano na Waislamu katika hili jambo kutokana na agano la kale kuwa linachukuliwa kama torati waliyopewa WaIsrael lakini ngamia ni chakula cha hadhi sana kwa Waislamu!
Huu ni kama mkanganyiko.
maelezo yako yanavunjaje klle niliichokisema?.unatakiwa ule ukiwa na njaa kali na hakuna msosi mwengine zaidi ya noah, So watu wana-take advantage hiyo kumfaidi mdudu hahahah