Tofauti ya 2015 na 2025 ni vigumu kudanganya. Kila mtu anajua ujanja wote wa wizi wa kura, kila mtu anajua viongozi wa uchaguzi, kila mtu anajua ACT Wazalendo na Chaumma ni pandikizi.
Hii ndiyo tofauti ya 2015 na 2025. Huwezi kutumia uongo uleule ukafanikiwa kwa technologia hii. Mama anapata shida yaani mpaka mahakama inaogopa mtandao