Lycaon pictus
JF-Expert Member
- Jan 31, 2021
- 9,189
- 16,128
Sasa mkuu mbona hapa inachanganya. Mkubwa ni yupi.Nyuki wadogo Au stingless bee 🐝..
wao asali yao hutumika zaidi kama dawa..
wakat nyuki wakubwa hutumika kama Msosi. na ni tamu zaidi
Mkuu, bila shaka hujawajua Hawa Nyuki wadogo. Ukisema asali Yao hawachanganyi na Chavua, (Poleni), kwenye maua wanatafuta nini? Kumbuka Hawa Nyuki wadogo ni wachavushaji wazuri pia.Nyuki wadogo Au stingless bee [emoji219].. nyuki wasio uma.
Wao asali yao hutumika zaidi kama dawa.. kwa sababu ya aina ya maua na miti wanayopenda kutembelea. lakini pia wao asali yao hawachanganyi na chavua "polen"
Wakati nyuki wakubwa Wale wanaouma.. was asali yao hutumika kama Msosi zaidi. na ni tamu zaidi.. na asali yao huwa ina vumbi la maua "polen"
Uko kwenu lita moja y nyuki wadogo bei gani?Asali ya nyuki wadogo ni chachu Ina ladha kama imetiwa ndimu au Limao na Asali ya nyuki wakubwa ni tamu sana na ndo hii imesambaa kila mahali
Naishi sehemu ambapo asali ya nyuki wadogo inapatikana kwa wingi sana.
Inauzwa 15000/=Uko kwenu lita moja y nyuki wadogo bei gani?
Asante kwa taarifa.. vipi kuhusu ladha ya asali.. na kutumika kama dawaMkuu, bila shaka hujawajua Hawa Nyuki wadogo. Ukisema asali Yao hawachanganyi na Chavua, (Poleni), kwenye maua wanatafuta nini? Kumbuka Hawa Nyuki wadogo ni wachavushaji wazuri pia.
Kwa ufahamu wangu Mimi, ASALI ya Nyuki wadogo ipo kwenye ugumu wa kuipata. Maana Nyuki Hawa mara zote wanakuwa kwenye miti kikubwa, yenye uwazi katikati. Kuipata mpaka mpaka ukate mti huo. Lakini pia kuwaona sehemu walipo ni kazi inahitaji uzoefu mkubwa. Hii inasababishwa na udogo walionao kiasi kwamba ni vigumu kuwaona wakitoka hata wakiwa umbali wa mita Tano.
Naomba ruhusa tuwasiliane naihitaji hii asali sana.Asali ya nyuki wadogo ni chachu Ina ladha kama imetiwa ndimu au Limao na Asali ya nyuki wakubwa ni tamu sana na ndo hii imesambaa kila mahali
Naishi sehemu ambapo asali ya nyuki wadogo inapatikana kwa wingi sana.
Mkuu, kuna technologia rahisi ya kuwa domesticate na kutengenea makundi kirahisi, mimi ninao, na naendelea ku learn , yupo mkoloni moja Arusha anawafuga kwa scale kubwa na anasell asali abroadMkuu, bila shaka hujawajua Hawa Nyuki wadogo. Ukisema asali Yao hawachanganyi na Chavua, (Poleni), kwenye maua wanatafuta nini? Kumbuka Hawa Nyuki wadogo ni wachavushaji wazuri pia.
Kwa ufahamu wangu Mimi, ASALI ya Nyuki wadogo ipo kwenye ugumu wa kuipata. Maana Nyuki Hawa mara zote wanakuwa kwenye miti kikubwa, yenye uwazi katikati. Kuipata mpaka mpaka ukate mti huo. Lakini pia kuwaona sehemu walipo ni kazi inahitaji uzoefu mkubwa. Hii inasababishwa na udogo walionao kiasi kwamba ni vigumu kuwaona wakitoka hata wakiwa umbali wa mita Tano.
Tunaomba hilo somoMkuu, kuna technologia rahisi ya kuwa domesticate na kutengenea makundi kirahisi, mimi ninao, na naendelea ku learn , yupo mkoloni moja Arusha anawafuga kwa scale kubwa na anasell asali abroad
Tofauti ya asali hizo ni;Eti wataalamu, tofauti ya asali ya nyuki wadogo na wakubwa ni nini? nyuki hao wanatofauti gani zingine mbali na ukubwa? maana binafsi huwa naona hili suala ni la marketing tu ili kupiga watu bei.
Kuna mtu anauza asali hapa karibu. Ngoja nikanunue hii ya wadogo nione inafananaje.Tofauti ya asali hizo ni;
1.Aina ya nyuki wenyewe,nyuki wakubwa ni hawa nyuki tulizoea kuwaona siku zote na nyuki wadogo ni nadra kuwaona na huwa na mfanano wa nzi(melipona)
2.Asali ya nyuki wadogo ni nyepesi zaidi na huwa na ladha ya uchachu flani
3.Asali ya nyuki wadogo uzalishaje wake ni mdogo zaidi ukilinganisha na nyuki wakubwa
4.Asali ina viambata ambavyo ni "antimicrobial" lakini vitapatikana kwa wingi katika asali ya nyuki wadogo hivyo hutumika kama dawa na sio chakula
Mkuu, kuna technologia rahisi ya kuwa domesticate na kutengenea makundi kirahisi, mimi ninao, na naendelea ku learn , yupo mkoloni moja Arusha anawafuga kwa scale kubwa na anasell asali abroad
..mzinga mmoja wa nyuki wadogo kwa wastani unatoa asali kiasi gani?
..mzinga mmoja wa nyuki wakubwa kwa wastani unatoa asali kiasi gani?
..lita moja ya asali ya nyuki wadogo ni bei gani? Vivyo hivyo lita ya asali ya nyuki wakubwa ni bei gani?
Asante mkuuNyuki wadogo Au stingless bee 🐝.. nyuki wasio uma.
Wao asali yao hutumika zaidi kama dawa.. kwa sababu ya aina ya maua na miti wanayopenda kutembelea. lakini pia wao asali yao hawachanganyi na chavua "polen"
Wakati nyuki wakubwa Wale wanaouma.. was asali yao hutumika kama Msosi zaidi. na ni tamu zaidi.. na asali yao huwa ina vumbi la maua "polen"
Kuna tofauti kubwa.Eti wataalamu, tofauti ya asali ya nyuki wadogo na wakubwa ni nini? nyuki hao wanatofauti gani zingine mbali na ukubwa? maana binafsi huwa naona hili suala ni la marketing tu ili kupiga watu bei.