Tofauti ya asali ya nyuki wadogo na wakubwa ni nini?

Nyuki wadogo Au stingless bee 🐝.. nyuki wasio uma.

Wao asali yao hutumika zaidi kama dawa.. kwa sababu ya aina ya maua na miti wanayopenda kutembelea. lakini pia wao asali yao hawachanganyi na chavua "polen"

Wakati nyuki wakubwa Wale wanaouma.. was asali yao hutumika kama Msosi zaidi. na ni tamu zaidi.. na asali yao huwa ina vumbi la maua "polen"
 
Nyuki wadogo Au stingless bee 🐝..

wao asali yao hutumika zaidi kama dawa..
wakat nyuki wakubwa hutumika kama Msosi. na ni tamu zaidi
Sasa mkuu mbona hapa inachanganya. Mkubwa ni yupi.

The Little Bee is Apis florea
1. They are the tiniest of all Indian bees.

2. Each hive is a single vertical comb.

3. They build small vertical combs in bushes, caves, buildings.

4. They cannot be reared as they change places frequently.

5. They yield about 500gms of honey per hive per year. The retail pricing of genuine raw Little Bee honey will range anywhere between Rs.1300/- to Rs.1800/- per kilo.

The Stingless Bee is Melipona irridipennis

1. Stingless Bees are also called Dammer Bees.

2. Stingless Bees make irregular combs of resin in tree hollows or crevices.

3. They are reared mainly for their significance in pollination of food crops, and also for their honey which is in demand by ayurveda practitioners. That and the low yield of honey would explain its high price.

4. Stingless Bees have stings that are really tiny, therefore biting the threat is more effective.

5. They yield just about 100gms of honey per hive per year and considering there is high demand for this honey is also one of the most expensive raw honey varietals in India. The retail pricing of genuine raw Stingless Bee honey can range any where between Rs.3800/- to 4200/- per kilo.
 
Nyuki wadogo Au stingless bee [emoji219].. nyuki wasio uma.

Wao asali yao hutumika zaidi kama dawa.. kwa sababu ya aina ya maua na miti wanayopenda kutembelea. lakini pia wao asali yao hawachanganyi na chavua "polen"

Wakati nyuki wakubwa Wale wanaouma.. was asali yao hutumika kama Msosi zaidi. na ni tamu zaidi.. na asali yao huwa ina vumbi la maua "polen"
Mkuu, bila shaka hujawajua Hawa Nyuki wadogo. Ukisema asali Yao hawachanganyi na Chavua, (Poleni), kwenye maua wanatafuta nini? Kumbuka Hawa Nyuki wadogo ni wachavushaji wazuri pia.

Kwa ufahamu wangu Mimi, ASALI ya Nyuki wadogo ipo kwenye ugumu wa kuipata. Maana Nyuki Hawa mara zote wanakuwa kwenye miti kikubwa, yenye uwazi katikati. Kuipata mpaka mpaka ukate mti huo. Lakini pia kuwaona sehemu walipo ni kazi inahitaji uzoefu mkubwa. Hii inasababishwa na udogo walionao kiasi kwamba ni vigumu kuwaona wakitoka hata wakiwa umbali wa mita Tano.
 
  • Thanks
Reactions: PYD
Asali ya nyuki wadogo ni chachu Ina ladha kama imetiwa ndimu au Limao na Asali ya nyuki wakubwa ni tamu sana na ndo hii imesambaa kila mahali
Naishi sehemu ambapo asali ya nyuki wadogo inapatikana kwa wingi sana.
 
Uko kwenu lita moja y nyuki wadogo bei gani?
 
Mkuu, bila shaka hujawajua Hawa Nyuki wadogo. Ukisema asali Yao hawachanganyi na Chavua, (Poleni), kwenye maua wanatafuta nini? Kumbuka Hawa Nyuki wadogo ni wachavushaji wazuri pia.

Kwa ufahamu wangu Mimi, ASALI ya Nyuki wadogo ipo kwenye ugumu wa kuipata. Maana Nyuki Hawa mara zote wanakuwa kwenye miti kikubwa, yenye uwazi katikati. Kuipata mpaka mpaka ukate mti huo. Lakini pia kuwaona sehemu walipo ni kazi inahitaji uzoefu mkubwa. Hii inasababishwa na udogo walionao kiasi kwamba ni vigumu kuwaona wakitoka hata wakiwa umbali wa mita Tano.
Asante kwa taarifa.. vipi kuhusu ladha ya asali.. na kutumika kama dawa
 
Asali ya nyuki wadogo ni chachu Ina ladha kama imetiwa ndimu au Limao na Asali ya nyuki wakubwa ni tamu sana na ndo hii imesambaa kila mahali
Naishi sehemu ambapo asali ya nyuki wadogo inapatikana kwa wingi sana.
Naomba ruhusa tuwasiliane naihitaji hii asali sana.
 
Mkuu, bila shaka hujawajua Hawa Nyuki wadogo. Ukisema asali Yao hawachanganyi na Chavua, (Poleni), kwenye maua wanatafuta nini? Kumbuka Hawa Nyuki wadogo ni wachavushaji wazuri pia.

Kwa ufahamu wangu Mimi, ASALI ya Nyuki wadogo ipo kwenye ugumu wa kuipata. Maana Nyuki Hawa mara zote wanakuwa kwenye miti kikubwa, yenye uwazi katikati. Kuipata mpaka mpaka ukate mti huo. Lakini pia kuwaona sehemu walipo ni kazi inahitaji uzoefu mkubwa. Hii inasababishwa na udogo walionao kiasi kwamba ni vigumu kuwaona wakitoka hata wakiwa umbali wa mita Tano.
Mkuu, kuna technologia rahisi ya kuwa domesticate na kutengenea makundi kirahisi, mimi ninao, na naendelea ku learn , yupo mkoloni moja Arusha anawafuga kwa scale kubwa na anasell asali abroad
 
Tunaomba hilo somo
 
Eti wataalamu, tofauti ya asali ya nyuki wadogo na wakubwa ni nini? nyuki hao wanatofauti gani zingine mbali na ukubwa? maana binafsi huwa naona hili suala ni la marketing tu ili kupiga watu bei.
Tofauti ya asali hizo ni;

1.Aina ya nyuki wenyewe,nyuki wakubwa ni hawa nyuki tulizoea kuwaona siku zote na nyuki wadogo ni nadra kuwaona na huwa na mfanano wa nzi(melipona)

2.Asali ya nyuki wadogo ni nyepesi zaidi na huwa na ladha ya uchachu flani

3.Asali ya nyuki wadogo uzalishaje wake ni mdogo zaidi ukilinganisha na nyuki wakubwa

4.Asali ina viambata ambavyo ni "antimicrobial" lakini vitapatikana kwa wingi katika asali ya nyuki wadogo hivyo hutumika kama dawa na sio chakula
 
Kuna mtu anauza asali hapa karibu. Ngoja nikanunue hii ya wadogo nione inafananaje.
 
Mkuu, kuna technologia rahisi ya kuwa domesticate na kutengenea makundi kirahisi, mimi ninao, na naendelea ku learn , yupo mkoloni moja Arusha anawafuga kwa scale kubwa na anasell asali abroad

..mzinga mmoja wa nyuki wadogo kwa wastani unatoa asali kiasi gani?

..mzinga mmoja wa nyuki wakubwa kwa wastani unatoa asali kiasi gani?

..lita moja ya asali ya nyuki wadogo ni bei gani? Vivyo hivyo lita ya asali ya nyuki wakubwa ni bei gani?
 
Mimi wanaongata sina mtaalamu, nawajua hawa stingless bees, mizinga ipo ya aina tofauti tofauti.. majority ya wagugaji wengi wanatumia hiyo ya asili...ipo ya kisasa ambayo ukuwa umetengenezwa poa nusu lita hukosi kwa msimu wa mavuno na kama nyuki wapo sehemu yenye malisho ya kutosha

Pia utambue stingless bees wanatoa asali kidogo saana kulinganisha na hawa wakubwa.....pia bei inategemea lita moja inauzwa kati ya tsh 30,000 mapaka 40,000 achilia mabli mazao yakee mengine

kwa mtu ambaye amepakana na misitu ya asili,,,hii ni fursa

wataalamu wa nyuki wakubwa watajibu hayo mengine
 
Nyuki wadogo Au stingless bee 🐝.. nyuki wasio uma.

Wao asali yao hutumika zaidi kama dawa.. kwa sababu ya aina ya maua na miti wanayopenda kutembelea. lakini pia wao asali yao hawachanganyi na chavua "polen"

Wakati nyuki wakubwa Wale wanaouma.. was asali yao hutumika kama Msosi zaidi. na ni tamu zaidi.. na asali yao huwa ina vumbi la maua "polen"
Asante mkuu
 
Back
Top Bottom