Tofauti ya bingwa mteuliwa na bingwa...

Tofauti ya bingwa mteuliwa na bingwa...

kishumbaz

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2015
Posts
1,183
Reaction score
1,619
###The real passion of the champion...
IMG_20190530_070430.jpeg
IMG_20190530_070943.jpeg
 
LIALIA ZAHERA KAWAFUNDISHA TABIA ZA KIKE, SARRI HAPO ANAFURAHI MAANA TANGUA AANZE UKOCHA HAJAWAHI KUPATA NDOO, HIII NI MARA YAKE YA KWANZA
 
Kweli washabiki wa Yanga miaka miwili mitatu nyuma hawakuwa walalamishi au watesekaji kiasi hiki, sasa naanza kuamini kwamba kocha wao amewaambukiza. Hivi timu ina goal difference ya 60, inayofuata ina 33, kuna maswali tena hapo kuwa nani alistahili bila shaka yoyote kuwa bingwa?
 
Hawa yanga wanataka team iliyoingia robo fainali isiwe bingwa wa nchi huu ni wendawazimu kabisa Team hii imetolewa na bingwa wa drc kuonyesha ubabe wake J soura wako nafasi ya tatu, Vita wameishia nafasi ya pili, club bingwa wajipange Simba ni hatari
 
Simba alishakua bingwa wiki kadhaa, hivyo chereko cheteko za ubingwa zishapungua, Sari hii ni fainali mpaka anaingia uwanjani hakukua na bingwa hivyo mayokeo ya ndani ua dakika tisini ndio uamemfanua awe hivyo.

Sari akikabidhiwa hilo kombe leo hataonyesha same reaction kama siku ya mechi.

Mjadala umefungwa
 
Back
Top Bottom