Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Madimbwi yamekauka kelele msipige sanaMikia Povu ruksa. [emoji41][emoji41]
Nimetaka kukutag aiseee kumbe upo karibu Mtani.Madimbwi yamekauka kelele msipige sana
Najua muda wako huu lazima niwe karibuNimetaka kukutag aiseee kumbe upo karibu Mtani.
Nilikwambia jana Mtani yaani wakati mnapokea kile kinu chenu hamkuwa hata na chembe ya kuonyesha mmekitesekea.Madimbwi yamekauka kelele msipige sana
[emoji23] matokeo ya Azam hujapata tuNilikwambia jana Mtani yaani wakati mnapokea kile kinu chenu hamkuwa hata na chembe ya kuonyesha mmekitesekea.
Yaani mlikuwa mmezubaa kama hakuna kinachoendelea.
Haya nasubiria Povu lako na wewe Mtani.Najua muda wako huu lazima niwe karibu
Naomba za Yanga wakipokea kombeHaya nasubiria Povu lako Mtani.
Umewaona Chelsea kwenye picha hapo chini. Hiyo ndio tafsiri ya upokeaji kombe sasa sio mnakuwa kama mko msibani. [emoji3][emoji3][emoji3]
[emoji23] matokeo ya Azam hujapata tu
Nitakupatia msimu ujao Mtani. 😀😀😀Naomba za Yanga wakipokea kombe
Hadi hurumaView attachment 1111878
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]