dwoxye
JF-Expert Member
- May 2, 2015
- 679
- 353
Diamond kwa muda mrefu amekuwa mbunifu sana kwenye kazi yake ambapo amepelekea kuwa mwanamziki mwenye utofauti mkubwa sana na wengine katika vipengele vifuatavyo:-
1. Management yake.
...Ana mameneja watatu ambao kwa pamoja wanashirikiana katika shughul mbalimbali kuhakikisha kijana anatoa ngoma kali na kusimamia malipo ya shows zake ndani na nje ya nchi.
2. Ma'dancers wa kutosha.
...Kijana ana ma'dancers zaidi ya wanne ambao amekuwa akisafiri nao kila sehem anayoenda kupiga shows au kushoot videos, tofaut na wanamzk wngine hata km wana madancers lakin wakipata shows nje ya nchi huwa wanaenda peke yao.
3. Kuajiri vijana kwa ajili ya kupga pcha na kuchukua videos kila sehem anayokuwepo.
...Ni ubunifu mwngine kwa bongo ambapo kaajiri watu kwa ajil ya kaz hii ambao ni Kifesi (pichaz) na Akili Saleh (videos). Hii inamsaidia katika kujitangaz zaid na kuwa na updates za mara kwa mara kwenye mitandao juu ya kaz anazofanya.......tofauti na wasanii wengine ambao hawaajir watu km hawa.
4. Kuajiri Stylist wa mavazi.
...Hii imemsaidia kijana kuonekana nadhifu na kupangilia vzur nguo zake katika kila tukio analohusika....tofauti na wasanii wengine ambao cjui ni kwa ubahiri au ni nn kinawafanya wasiajiri watu wa design hii.
Kupitia mambo hayo hapo juu naweza kusema kijana SIO MBAHIRI kwenye kazi yake, kuajiri na kulipa Crew kubwa kama hiyo sio mchezo.....Nadhani anatumia ile slogan ya kwamba 'tumia hela upate hela'....
Na kwa hili amefanikiwa kwa kiwango kikubwa coz ndo msanii anayelipwa hela nyingi kwa show hapa bongo na ni msanii wa bongo aliyepiga shows nyingi za nje kwa miaka ya karibun na mingi tu huko nyuma.
Mwisho:-
Wasanii wa bongo wajitahid kufuata mfano huu, waache ubahiri, kwa sababu kwa kufanya hayo hapo juu wataongeza thamani zao na wakijituma kama anavofanya kijana tutapata wasanii wengi tu wanaotuwakilisha kimataifa na kuiletea sifa nchi yetu as well as kuongeza vipato vyao.