Tofauti ya Diamond na wasanii wengine wa Bongo

Tofauti ya Diamond na wasanii wengine wa Bongo

dwoxye

JF-Expert Member
Joined
May 2, 2015
Posts
679
Reaction score
353
Diamond kwa muda mrefu amekuwa mbunifu sana kwenye kazi yake ambapo amepelekea kuwa mwanamziki mwenye utofauti mkubwa sana na wengine katika vipengele vifuatavyo:-

1. Management yake.
...Ana mameneja watatu ambao kwa pamoja wanashirikiana katika shughul mbalimbali kuhakikisha kijana anatoa ngoma kali na kusimamia malipo ya shows zake ndani na nje ya nchi.

2. Ma'dancers wa kutosha.
...Kijana ana ma'dancers zaidi ya wanne ambao amekuwa akisafiri nao kila sehem anayoenda kupiga shows au kushoot videos, tofaut na wanamzk wngine hata km wana madancers lakin wakipata shows nje ya nchi huwa wanaenda peke yao.

3. Kuajiri vijana kwa ajili ya kupga pcha na kuchukua videos kila sehem anayokuwepo.
...Ni ubunifu mwngine kwa bongo ambapo kaajiri watu kwa ajil ya kaz hii ambao ni Kifesi (pichaz) na Akili Saleh (videos). Hii inamsaidia katika kujitangaz zaid na kuwa na updates za mara kwa mara kwenye mitandao juu ya kaz anazofanya.......tofauti na wasanii wengine ambao hawaajir watu km hawa.

4. Kuajiri Stylist wa mavazi.
...Hii imemsaidia kijana kuonekana nadhifu na kupangilia vzur nguo zake katika kila tukio analohusika....tofauti na wasanii wengine ambao cjui ni kwa ubahiri au ni nn kinawafanya wasiajiri watu wa design hii.

Kupitia mambo hayo hapo juu naweza kusema kijana SIO MBAHIRI kwenye kazi yake, kuajiri na kulipa Crew kubwa kama hiyo sio mchezo.....Nadhani anatumia ile slogan ya kwamba 'tumia hela upate hela'....

Na kwa hili amefanikiwa kwa kiwango kikubwa coz ndo msanii anayelipwa hela nyingi kwa show hapa bongo na ni msanii wa bongo aliyepiga shows nyingi za nje kwa miaka ya karibun na mingi tu huko nyuma.

Mwisho:-
Wasanii wa bongo wajitahid kufuata mfano huu, waache ubahiri, kwa sababu kwa kufanya hayo hapo juu wataongeza thamani zao na wakijituma kama anavofanya kijana tutapata wasanii wengi tu wanaotuwakilisha kimataifa na kuiletea sifa nchi yetu as well as kuongeza vipato vyao.
 
Temba na swaga zake za kishamba za kutafuna kijiti kila video akienda kimataifa si atatembea na ukuni mdomoni!

Viol Leo umenifurahisha sana jumapili yangu imekua nzr
 
Hapana mameneja wale Wa kawaida tu

Dai himself ana juhudi
Kama fella na tale wapo poa wawapeleke Temba na chegge huko mnakokuita kimataifa

umemaliza mkuu, maana huyo tale anayesifiwa leo ndio huyohuyo anayeongoza tiptop ambayo kila siku inapagaranyika
 
Hao wasanii wengine wanazo izo pesa za kuwalipa sasa acheni masihara ukizingatia msanii mwenyew bado ni local
 
Diamond hz luckboy very talented, Hardworking men sio kazi rahisi ad alipofika sahv abt hz management Salam Tale and Fella sawa wako vzr lkn c kila msanii waki mmanage anaweza fika alipo diamond..diamond is diamond
 
Temba na swaga zake za kishamba za kutafuna kijiti kila video akienda kimataifa si atatembea na ukuni mdomoni!

C unajua anatupa ushahidi kwamba yeye ni mtu Wa kula kiepe kuku sana

Uoni kitambi kile ?
 
Suala la mameneja nafikiri lina'play part ndogo tu km kumtafutia shows na kusimamia malipo yake as well as kumtafutia collabo panapowezekanika!
...na kwa upande mkubwa mameneja ndo washauri wa kwanz kwa mwanamzki husika, so km unapewa ushauri na hujitumi na kuufanyia kazi kisawasawa cdhan km utaenda mbele zaid.....nahis hiki ndo knawatokea Temba na Chegge.
 
Diamond hz luckboy very talented, Hardworking men sio kazi rahisi ad alipofika sahv abt hz management Salam Tale and Fella sawa wako vzr lkn c kila msanii waki mmanage anaweza fika alipo diamond..diamond is diamond

Kweli mkuu, juhudi binafsi na malengo ya msanii husika ndo kitu kikubwa zaidi.
 
Hayo ni matokeo ya watu wote kuanzia Msanii,menejimenti,dancers,dj's na watu wote waliomzunguuka.ktk timu yake watu wote wanacheza nafasi zao vile inavyotakiwa
 
Hapana mameneja wale Wa kawaida tu

Dai himself ana juhudi
Kama fella na tale wapo poa wawapeleke Temba na chegge huko mnakokuita kimataifa

Mkuu inategemea kama hao akina Temba na Chegge wanawasikiliza mameneja wao. Wasanii wengi hawawasikiliza mameneja wao akiambiwa hiki usifanye atakujibu kwani naimba mimim au wewe. Usikivu ni changamoto kubwa kwa wasanii wa kibongo.
 
Wewe ndio pumbafu kabisa unaacha kudeal na mambo yako unasoma post zisizohusu maisha yako
Kama mimi nashindaga humu kusubiri habari ya mond na Zari, lakini naamini nina ufahamu tele kuliko wengi.
 
Back
Top Bottom