Tukubali ukweli kuwa Ali Kiba kufika level za Diamond haiwezekani....
Afu ex kubwa nae mdomo ake hauna kufuli akaamua atangaze kabisa eti kibakuli kaniombaSubiri nifah akuone, ila kweli nasikia bila promo za maex wa Diamond (jokate na wema) Ali Kibaka asingepata kitu!
kaaz kwelkwel
hahahaha ili mradi tu uzi uonekane
na umeuona
niliuona muda ila sikuona cha kuchangia, ila hiyo komenti yako imenichekesha sana
kende ninavyojua mimi hata chibu huwa anafanya matangazo, hivyo hata mimi naweza kupost kiba yupo studio na chibu akipiga picha, ni uelewa wako tu umeishia hapoAisee inaonekana unachekeshwa na vitu vidogovidogo sana, nigei namba yako nikuchekeshe zaidi
hata kwa boost ya wema na jokate?
Mihogo ya kuchemsha na keki?
Very ďifferent!