Tofauti ya Diamond na wasanii wengine wa Bongo

Tofauti ya Diamond na wasanii wengine wa Bongo

Subiri nifah akuone, ila kweli nasikia bila promo za maex wa Diamond (jokate na wema) Ali Kibaka asingepata kitu!
Afu ex kubwa nae mdomo ake hauna kufuli akaamua atangaze kabisa eti kibakuli kaniomba
hivi kiba alirudi kusema ahsante kwa wanawake kumuwezesha?
 
Mawindo ya bahari hayafai milimani, ukilazimisha utaambulia kutoka mingeu
 
Ina maana Kiba alivyopewa ubalozi wa Tembo na mziki ndio amestaafu.
 
niliuona muda ila sikuona cha kuchangia, ila hiyo komenti yako imenichekesha sana

Aisee inaonekana unachekeshwa na vitu vidogovidogo sana, nigei namba yako nikuchekeshe zaidi
 
Aisee inaonekana unachekeshwa na vitu vidogovidogo sana, nigei namba yako nikuchekeshe zaidi
kende ninavyojua mimi hata chibu huwa anafanya matangazo, hivyo hata mimi naweza kupost kiba yupo studio na chibu akipiga picha, ni uelewa wako tu umeishia hapo
 
Last edited by a moderator:
kende ninavyojua mimi hata chibu huwa anafanya matangazo, hivyo hata mimi naweza kupost kiba yupo studio na chibu akipiga picha, ni uelewa wako tu umeishia hapo

Oh asante sana, kumbe cha kuchangia ulikuwa nacho
 
Last edited by a moderator:
Mtakesha xana mwaka huu na ndio tunaelekea ukingoni je? Tukituma pic ya diamond anachezea tumbo la Zari na kiba anaparfm on a stage mtasema nn?
 
Ha haaa kiba hana loloteeee ngoja tuteke south kwanzaaa watuheshimuuu
 
Tofauti yao nyingine ni hii hapa:

Diamond aachia video mpya

<font size="4">

Ali Kiba Aachia Picha za Video Tarajiwa

Cheke.jpg
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom