Uchaguzi 2020 Tofauti ya Edward Lowassa wa 2015 na Tundu Lissu wa 2020

Kabla ya uchaguzi tayari Tundu Lisu ana 50% ya kura za Watanzania waliojiandikisha. Kimsingi Tundu Lissu ni Rais Mteule anayesubiri kuapishwa. Hakuna Mtanzania mwenye akili timamu atakayempa kura Magufuli. Ameua uchumi na ameua binadamu
CCM BADO INAMTAJI WA WAJINGA KIBAO
 
Mtanzania pekee aliyeweza kuiamsha Tanzania kutoka kwenye nusu-kaputi ya kisiasa!
Sikutegemea kuona siasa ya Tanzania inaweza kuchangamka ndani ya usiku mmoja tu.
Mchukie au Mpende lazima ukubali kwamba Tundu Lissu ana kitu cha pekee.
 
Usilikosea heshima neno genius. Hakuna genius anaye rudia kulamba matapishi yake kama wowowowoo!
 
No wonder huyu jamaa walimmiminia mvua ya risasi.

Jamaa hakamatiki kabisa kwenye uwanja wa hoja.

Naamini tume ikifanya haki CDM wanashinda asubuhi tuu.
Hakunaga hiyo kitu haki

Lissu anashinda kwa njia ambayo hakuna atakaewaza Wala kuelewa mark my words
 
Hahahahaha subiri octoba
Mkuu October tume ya uchaguzi itamtangaza Magu kuwa mshindi Kama ilivyofanya 2015 na Kama tume ya uchaguzi ya Malawi ilivyomtangaza APM ambaye Sasa anaongoza chama cha upinzani baada ya nguvu ya umma kumuweka kando.Mimi bado naamini watu tutatiwa Chachu na motisha na survival ya Lissu ambayo imetufanya watu wengi tuamini kwamba bila Mungu kupenda risasi haiui,bila Mungu kupenda hata corona haiui.sprit hiyo ndiyo itatuongoza kumng'oa yule aliyetangazwa na kubadiri kabisa hizi siasa uchwara zinazofanywa na CCM Tanzania.Mungu watie nguvu watanzania waiangalie nchi yao badala ya kumuangalia huyu mharibifu magu
 
Kiasi kwamba mgombea wa CCM tayari keshavurugwa, leo huko barabarani akielekea Dodoma hajaeleweka maneno aliyotamka, eti anamwuliza mwananchi we unataka upanuliwe wapi?😀
 
Kiasi kwamba mgombea wa CCM tayari keshavurugwa, leo huko barabarani akielekea Dodoma hajaeleweka maneno aliyotamka, eti anamwuliza mwananchi we unataka upanuliwe wapi?😀
Aangalie tu asije akamfuata BWM kwa kisingizio arrest sijui wakati ni pressure ya uchaguzi
 
"maybe in time u "ll understand only God can save us"
 
Wananchi wa Tanzania hawawapendi wanaharakati. Watu wanaoongea huku mishipa yao ya shingo ikiwa imekakamaa.
Mbona wanamvumilia huyo mwingine shingo ikikakaa licha ya kutokuwa na hoja?
 
..Lissu anaweza siasa za hoja, na ni mzuri pia ktk siasa za vijembe.

Hapo ndipo TL anapo wapa watu msisimko na kumsikiliza kwa makini... Sio muoga na anajua kutetea hoja.

Lakini TL akumbuke ktk kampeni sio mahakamani yaani kwenda kuulizana na kujibishana...

Anatakiwa awe na hoja za maendeleo, atete vizuri sera ya chama chake, awape elimu ya kutosha raia khs mabadiliko...

Kuelezea mabaya ya ccm na ufisadi, Katiba mpya, tume huru hayo aweke mwisho... Watu wanashauku ya kujua nn atakifanya akiwa rais na kitamsaidia raia na taifa kwa ujumla.
 
Ngoja nisubiri analysis za baada ya uchaguzi maana ndo huwa real,hizi za kabla huwa mzuka na mahaba zaidi.
HAPO UMENENA!

Uko sawa kabisa, lakini upo uwezekano na hata ukisema leo, walio amini hawawezi kukubali maneno mazuri utakayo toa.
 
Khaa, eti Lissu ni genius. Lissu ni bwege zaidi ya Bwege wa Kilwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…