Uchaguzi 2020 Tofauti ya Edward Lowassa wa 2015 na Tundu Lissu wa 2020

Niongeze sauti au inatosha.
 
Naona mmeanza kumkataa lowassa wakati mlimtetea ili awe rais.! sasa mm nasema hv, upinzani dawa yenu ipo pale pale.
 
Lowasa ni mweupe sijui akifikafikaje pale alipofika.
 
Mngemshauri Lissu agombee ubunge, hiko kiatu anachotataka hakimtoshi. Chama cha Mbowe, kilimpendea lowasa hela zake tu.
 
Yah! Naunga mkono hoja kwamba ni bora ccm wangemzuia asizaliwe....
Otherwise Tundu Lissu ndio rais baada ya October 28 hii haizuiliki
 
Yah! Naunga mkono hoja kwamba ni bora ccm wangemzuia asizaliwe....
Otherwise Tundu Lissu ndio rais baada ya October 28 hii haizuiliki
Ha ha ha Ndoto za mchana. Lissu hawezi kuwa Rais, mnajidanganya bure.
 
Ha ha ha Ndoto za mchana. Lissu hawezi kuwa Rais, mnajidanganya bure.
Huoni huyu aliyepo alusukumizwa muda mfupi kawa fisadi kuu la taifa na ameharibu nchi....

Raia ni Tundu Lissu ndio chaguo la watz hutaki meza wembe
 
The difference is clear now.
 
LOWASA tuliyemwona mwaka 2015 wakati wa uchaguzi siyo Lowasa wa 2005 wakati wa uchaguzi.
Baada ya uchaguzi wa 2005 aliteuliwa kuwa Waziri mkuu na akawa maarufu na wa kuogopwa ndani ya Serikali na ndani ya chama na hata bungeni. Akawa maarufu kuliko Rais hadi alIpopata ajali ya Kisiasa na kutenguliwa nafasi ya Uwaziri Mkuu.
Lowasa wa 2015 alikuwa dhaifu na mgonjwa. Hakuwa anaongea kwa muda mrefu si kwa sababu ya upole mbali ni kwa sababu ya ugonjwa. Lowasa ni Mtawala anayeadhibu bila kujali kuwa kuna kanuni na Sheria za Inchi.
Ndiyo maana Mwalimu Nyerere alisema, hafai kuwa Rais wa Inchi.
Tundu Lissu anafaa kuwa Rais wa Inchi hii.
Kama alivyosema Mwalimu Nyerere kwa Kikwete, asubiri hadi 2025 ili aimarishe chama chake na kukifanya kuwa na wabunge wengi kuliko wa CCM. Pia yeye apate muda wa kujijenga kisaikologia ili aje atawale na kuongoza Inchi kwa Busara na Hekima. Sasa hivi akipata Urais anaweza kuwa mtu wa kulipiza kisasi na mwisho wa siku amani ya Inchi ikavurugika.
Kuongoza Inchi si lazima uwe Rais. Hata sasa Lissu ni kiongozi namba mbili kitaifa kwa sababu Serikali iliyoko madarakani inaogopa kufanya mambo ya ovyo kwa sababu kuna watch dog amabaye atawabwekea na Wanainchi watasikia na kuwashughulikia kama wahalifu.
Mungu Ibarika Tanzania Mungu Wabariki viongozi wetu.
Miundo Mbinu ya Inchi ya Libya ilikuwa bora kuliko ya Tanzania lakini baada ya vita ya wenyewe kwa wenyewe Inchi iligeuka magofu na wanainchi wakawa mafukara na kuwa wakimbizi.
Hii miradi mikubwa tunayojivunia, inaweza kugeuka magofu kama amani ya Inchi itapotea.
Mwalimu Nyerere alihubiri Amani. Yesu Kristo alihubiri Amani
 
Hapo ndio utaju kuna watanzania wajinga kiasi cha kumpigia kura Lowassa ile 2015.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…