Tofauti ya gharama kati ya CRDB vs NMB

Tofauti ya gharama kati ya CRDB vs NMB

Bujibuji Simba Nyamaume

JF-Expert Member
Joined
Feb 4, 2009
Posts
76,107
Reaction score
160,001
PATA ELIMU KIDOGO KUHUSU NMB & CRDB MAKATO

Maswali ya msingi kabla sijakuelezea makato
a) Kipi Bora kutoa hela kupitia kwa Wakala, ATM au Ndani ya benk (Over the counter)?

a) Kipi Bora kuangalia salio kupitia kwa Wakala, NMB mobile/CRDB Simbanking, ATM au Ndan ya benk (Over the counter) au internet Banking?

c) Kama umemaliza kutoa hela ATM je kuna haja ya Kuomba risiti ya Salio au uangalie kupitia Simbanking? Kipi bora?

d) Je ikienda kwa wakala kutoa hela zikagoma kutoka kwa sababu ya salio Dogo Wakala akakwambia akuangalizie salio, Je unajua ni kiasi gani wanakata pia ukiunganisha na kutoa utakatwa kiasi gani?

e) Je unaijua faida na hasara ya internet banking?

I. GHARAMA ZA KUANGALIA SALIO

Kwa njia ya :-
a) ATM NMB shs 360, CRDB shs 354/=
b) Simbanking NMB 400, CRDB 400/=
c) Kwa wakala NMB shs 2000, CRDB 2000/=
d) Teller/Over the counter NMB shs 400, CRDB 500/=
e) Internet banking NMB Free, CRDB Free

II. KUTOA HELA (CASH WITHDRAWALS )

a) ATM
i. shs 1000-20,000 NMB shs 1100, CRDB 1300/=
ii. shs 20,001-50,000 NMB shs 1200, CRDB 1300/=
iii. shs 50,001-100,000, NMB shs 1300, CRDB 1300/=
iv. shs 100,001-200,000, NMB shs 1400, CRDB 150,000-600,000 ni 1500/=
v. shs 200,001-400,000 NMB shs 1500, CRDB 1500/=

b) Kwa teller/Over the counter mfano kutoa 400,000/= utachajiwa 4000 CRDB, NMB 4000/=

c) Kwa Wakala
i. 10,000-19999 NMB shs 1200/=
ii. 20,000-49,999 NMB shs 1500/=
iii. 50,000-99,999 NMB shs 2200/=
iii. 100,000-199999 NMB shs 3500/=
iv. 200,000-399999 NMB shs 4500/=
v. 400,000-599999 NMB shs 6300/=

Kuna tabia hii watu wengi wanapenda kuifanya. Unaenda kwa wakala kutoa mathalan 400,000/= ktk akaunti yako kuna 405,000/= lazima hela itagoma, Wakala atakuuliza tuangalie salio? Ukijibu tu ndio ataangalia salio na ktk akaunti yako utakatwa 2000 kama ni CRDB na kama ni NMB utakatwa almost 1500 hapo atakwambia una Salio la shs 402,000/= basi itabidi utoe sh 397,000/=

Ndg yangu kama una huduma ya internet banking angalia salio lako free kisha mwambie kiasi cha kutoa.

Pia kama umetoa hela ATM usiwe na tabia ya kuchukua risiti, angalia salio lako kupitia internet banking ni free

Kwa wanachuo wanaokaa offcampus mathalan unataka kutoa 400,000/= ukitoa kwa wakala utakatwa 6300/= ila kwenye ATM ingekatwa 1500/= tu, unaonaje kama ungepanda haisi shs 200 chapu ukaenda ndan ukatoa na kurudi 200 ukawa umetumia gharama 1900/ kuliko kukatwa 6500/=?

Maisha ni budget, so do at your own Risk .

As received
*****+*****+*****+*****+*****+*****+
 
Kuna issue ya CRDB kama unataka kutumia simu banking, pale unapo-dial *150*03# wanakwambia Tsh 100 salio lako la muda wa maongezi likakatwa. Kwa nini mtu ujiunge simbanking, hata kabla ya kupata huduma unayotaka mfano; kuangalia salio etc. wanakata muda wa maongezi? Hili litazamwe pia.
 
Internet banking wanajiunga through the counter
 
Kuna issue ya CRDB kama unataka kutumia simu banking, pale unapo-dial *150*03# wanakwambia Tsh 100 salio lako la muda wa maongezi likakatwa. Kwa nini mtu ujiunge simbanking, hata kabla ya kupata huduma unayotaka mfano; kuangalia salio etc. wanakata muda wa maongezi? Hili litazamwe pia.
Hii huduma mitandao inakata sh 100 tena bila kujali kama umefanikiwa kupata hiyo huduma au hujapata
 
Kuna issue ya CRDB kama unataka kutumia simu banking, pale unapo-dial *150*03# wanakwambia Tsh 100 salio lako la muda wa maongezi likakatwa. Kwa nini mtu ujiunge simbanking, hata kabla ya kupata huduma unayotaka mfano; kuangalia salio etc. wanakata muda wa maongezi? Hili litazamwe pia.
Simmbanking tumia app , siyo hizo ussd codes , ni kifo cha pesa.
 
Kuna issue ya CRDB kama unataka kutumia simu banking, pale unapo-dial *150*03# wanakwambia Tsh 100 salio lako la muda wa maongezi likakatwa. Kwa nini mtu ujiunge simbanking, hata kabla ya kupata huduma unayotaka mfano; kuangalia salio etc. wanakata muda wa maongezi? Hili litazamwe pia.
Hiyo tozo ya Tsh 100 kwenye *150*03# ni kwa Bank zote tu wanatoza sio CRDB tu
 
Back
Top Bottom