Tofauti ya gharama kati ya CRDB vs NMB

Nafanyaje kupata huduma ya internet banking
Nenda kwenye tawi la bank husika ukiwa na taarifa muhimu za account yako. Ni kazi ya dk 10 tu wanakua washamaliza kazi. Inaokoa sana sa a gharama hasa kwa sisi wafanyabiashara kwenye kufanya transfer.
Mfano kufanya transfer kwa Internet banking kutoka CRDB - CRDB wanakata Tsh 826 tu hata kama utahamisha million 20.
 
Hivii ukiomba risiti kwenye ATM wanakata bei ganii????
 
Je, hii huduma ya Cardless Draw ikojee??

Na

Je, naweza kutoa hela kwa Wakala CRDB, bila kadi??

NB: kadi imepoteaa niko safarini

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Je unapotoa kwenye ATM ukachua risiti, gharama zake zipoje?
 
Ukitaka kuangalia Salio NMB au huduma kupitia Menu ya *150*66# mpk uweke salio la 500 hii imekaaje na wkt ukituma hela bado wanakata tena inakuwaje?
 
NMB lazima uweke 500 ndio hiyo Menu itafanya kazi
 
Crdb kwenda nmb?
 

Sim baking kwa kutumia App ya CRDB ni kitu tofauti na internet banking?
Tutoane ushamba kidogo nahisi nachanganya mambo hapa
 
""Pia kama umetoa hela ATM usiwe na tabia ya kuchukua risiti, angalia salio lako kupitia internet banking ni free""

Kwani Niko "request risit" Kuna charges??

#YNWA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…