Fbn
JF-Expert Member
- Jul 31, 2016
- 15,749
- 37,420
Wenzetu wapo makini sana kwa mawazo ya mtu yenye kuleta solution au mbinu ili mradi anaweza kuthubutu na kutenda.
Hapa tabia iliyopo ukiwa na mawazo wanajifanya kama wajapendezwa nalo mwisho wa siku ukikaa vibaya ndio wanafanya wao.
Mambo haya marehemu ruge kafanya sana na MO.