tofauti ya institute and university??

tofauti ya institute and university??

Ahadi Buge

Member
Joined
Oct 14, 2012
Posts
6
Reaction score
0
Yap haya maneno yanakuwa yanachanganya sana wa2....inafikia kipind some of p'po wanakuwa wwana shout kabissa kwa kusema institute is bettr than UV and vise versa.....so wana JF kama kuna m2 yupo deep kwa hizi Termnlogy emu anifaamishe!!!!
 
Yap haya maneno yanakuwa yanachanganya sana wa2....inafikia kipind some of p'po wanakuwa wwana shout kabissa kwa kusema institute is bettr than UV and vise versa.....so wana JF kama kuna m2 yupo deep kwa hizi Termnlogy emu anifaamishe!!!!

umemaliza la saba mwaka gani??
 
Maneno yote mawili yanatafsiri ya chuo au taasisi tofauti ni ile tu kwamba "University" ni neno linalotumika kumaanisha taasisi kubwa ya elimu ya juu mahali watu wanaweza pata elimu kwa ngazi mbalimbali kama diploma,digrii,masters,PHD na kadhalika. Pia kumbuka kwamba neno institute linatumika pia kuelezea taasisi zingine zisizo za elimu kama bank,bima n.k wakati Unversity ina tafsiri ya chuo cha elimu ya juu moja kwa moja. Hata hivyo inategemea na mipangilio ya chuo(mf vya elimu) husika kwani inaweza kuwa ni Institute lakini elimu wanayoitoa ikawa na ubora unaolingana au zaidi ya taasisi inayojiita University.Ni hivyo tu mkuu.Swali?
 
Institute ni ndogo kuliko University kwa maana ya level of awards wanazozitoa. Pia Institute inaweza kujitegemea kama vile IFM na DIT au inaweza kuwa ni subset kwenye University. Kwa mfano, ukienda pale Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo (SUA) mbali ya kuwa na vitivo (Faculties) pia kuna Taasisi (Institutes) kama vile Institute of Continueing Education (ICE), Development Studies Institute (DSI), e.t.c
 
Dah!,mada zngne bhana,hazihitaji kujbiwa na m2 aliyeenda shule labda kichaa mwenzake!
 
Watu wengine mazuzu kwel, we mtu anauliza anataka kujua then unam-crash wat z tht fakin brain of u?
Msaidie mwenzio pimbi wewe.

Answ.
An institute sumtyms found within university i mean ts not huge as univesty. Or institut normaly provides jus ordnary titles contrary 2 univsty do provds extraordnary titles viz mastas,phd
is that helpful buddy?
 
Back
Top Bottom