Maneno yote mawili yanatafsiri ya chuo au taasisi tofauti ni ile tu kwamba "University" ni neno linalotumika kumaanisha taasisi kubwa ya elimu ya juu mahali watu wanaweza pata elimu kwa ngazi mbalimbali kama diploma,digrii,masters,PHD na kadhalika. Pia kumbuka kwamba neno institute linatumika pia kuelezea taasisi zingine zisizo za elimu kama bank,bima n.k wakati Unversity ina tafsiri ya chuo cha elimu ya juu moja kwa moja. Hata hivyo inategemea na mipangilio ya chuo(mf vya elimu) husika kwani inaweza kuwa ni Institute lakini elimu wanayoitoa ikawa na ubora unaolingana au zaidi ya taasisi inayojiita University.Ni hivyo tu mkuu.Swali?