Usijenge mahaba na majambazi.Kama utafatilia vizuri ukiwa huna upande wako ata kesi ya Sabaya niya kuchongwa kuainzia ile aliyohukumiwa 30 years mpaka inayoendelea sasa!
Hakuna ushahidi usioshaka ata mmoja atakama kuna mashahidi ila mashahidi wote ni vituko vitupu
Sent using Jamii Forums mobile app
Sabaya, yeye mwenye alikiri kosa, lakini akasema kuwa alikuwa ametumwa na Magufuli. Wewe ni nani hata useme kuwa eti alionewa?
Hivi hata hayo mambo ya kubaka, alikuwa anatumwa na Magufuli?